Hili ni pepo au?

Hili ni pepo au?

Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekua ikinitokea kama wiki 1 sasa!

Nimekua nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed ya ajabu sana wakati hapa nina kama wiki 2 nimetoka kumalizia likizo kwa mpenzi wangu ambae tulikua pamoja kwa mda wa wiki 2 nzima!

Sasa nashindwa kuelewa kwanini hii hali inajitokeza kwa kasi ya ajabu wakati majuz tu nimetoka kupata dozi na nashindwa cha kufanya coz nipo mbali na nimpendae je nifanyeje?
Hilo ni pepo tena lipo kwenye mbunye, inabidi umwagiwe maji ya baraka huko huko.
 
ukitumia dawa halafu usipone ujue hukukamilisha dozi, kwa hiyo rudi ukaanze dozi upya na uimalize
 
Hayo n mapepo, fukuza mapepo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekua ikinitokea kama wiki 1 sasa!

Nimekua nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed ya ajabu sana wakati hapa nina kama wiki 2 nimetoka kumalizia likizo kwa mpenzi wangu ambae tulikua pamoja kwa mda wa wiki 2 nzima!

Sasa nashindwa kuelewa kwanini hii hali inajitokeza kwa kasi ya ajabu wakati majuz tu nimetoka kupata dozi na nashindwa cha kufanya coz nipo mbali na nimpendae je nifanyeje?
Pole sana ndugu wewe una jini mahaba, na unahitaji tiba ya haraka. Njoo kwenye clinic yetu iliyopo Magomeni mapipa uonane na Mtaalam Dr Zakari na utatuliwa shida zako zote.
 
Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekua ikinitokea kama wiki 1 sasa!

Nimekua nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed ya ajabu sana wakati hapa nina kama wiki 2 nimetoka kumalizia likizo kwa mpenzi wangu ambae tulikua pamoja kwa mda wa wiki 2 nzima!

Sasa nashindwa kuelewa kwanini hii hali inajitokeza kwa kasi ya ajabu wakati majuz tu nimetoka kupata dozi na nashindwa cha kufanya coz nipo mbali na nimpendae je nifanyeje?
Dah pole sana
 
Back
Top Bottom