G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,289
- 38,942
Bukoba? Ni mbali sana.Nilidhani upo dar ningekupa tempo!! By the way mpenzi wako umeshamwambia kuhusu hilo au umekimbilia one way Jf?Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekua ikinitokea kama wiki 1 sasa!
Nimekua nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed ya ajabu sana wakati hapa nina kama wiki 2 nimetoka kumalizia likizo kwa mpenzi wangu ambae tulikua pamoja kwa mda wa wiki 2 nzima!
Sasa nashindwa kuelewa kwanini hii hali inajitokeza kwa kasi ya ajabu wakati majuz tu nimetoka kupata dozi na nashindwa cha kufanya coz nipo mbali na nimpendae je nifanyeje?