Mdadisi wa wadadisi
Member
- Mar 26, 2025
- 13
- 7
Haya ni mahojiano flani niliyanasa kutoka huko YouTube šKijana mmoja akieleza kuhusu hili neno Freemanbase lakini mwandishi akawa anaiekezea Freemason nikajaribu kujidadisi kwanini huyu mhojiwa anazungumza kitu kingine na mwandishi anazungumza kitu kingine lakini wanaelewana maada inayoongelewa, pana vipande kadhaa vya video katika channel hiyo ya YouTube ambapo video hizo zimelezea kwa kina kuhusu story hiyo.
Baadaye nikahitaji kufanya research kwanini haya maneno mawili yanaleta story moja yenye kueleweka nikasearch google neno Freemanbase , chakushanganza neno hilo linarank very high kwenye google search, nikajaribu kuangalia kwa kina na kuona kuwa ni sehemu ya jamii ya siri kama ilivyo illuminati na Freemason lakini hii inaonekana most popular in tanzania, na ofisi zao zipo alama zao ni zile zile za freemason na illuminati na wanajipromote sana,
Bado naendelea kutaka kuwajua zaidi hawa ni akina nani? Yeyote mwenye ufafanuzi zaidi kuhusu watu hawa naomba tupanunae ubongo hapa nahitaji kujua zaidi kuhusu watu hawa?