Hili ndo penzi la kweli au uzoba?

Hili ndo penzi la kweli au uzoba?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,200
Reaction score
64,645
10338314_897986276882458_4198011272014119829_n.jpg
 
kama amemkosea na anaomba msamaha basi ni penzi la kweli
 
ni la kweli na la dhati anapokosa lazima aombe msamaha
 
Mmmmmh! Huu ni utumwa...kwani kuomba msamaha lazima upige magoti???
 
wacha niwe mjinga nikale vitu,si unaona kitu chenye sijui katoka kwa PK?
 
Mkuu hilo dume ni timamu au zezeta hilo na kumpigea magoti kwa kitu gani kikubwa mno na chamana au ujuha wa kalulu tena inaonisha dizaini hii ya mazuzu ipo kibao yaani ndio fani yao waliosomea chuwo kikuu na degeri au diploma sasa haya ndio matunda ya elimu yao na hii siyo penzi ni undondocha tuu na binti ni pochi tuu basi na siyo hivo magoti ni kujitoa thamani tu
 
Muulize Asprin siku bibi amem'bamba na sms ya hatari na akachachamaa! Anakuwa mdogo kuliko hata piriton! Ndoa tamu kijana!
 
Last edited by a moderator:
Hiii kitu hii kitu hii kitu hii...we achatu. ...kitu yenyewe kaduchu.
 
Hapo ni mwendo wakulinda ukipendacho kwa gharama yoyote ile,malavidavi oyeeeeee:humble::humble:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom