penzi la mama limenikoleza!

penzi la mama limenikoleza!

Haha dunia inabadilika sana
Akiyetakiwa kuja kujisifu hapa na habari kama hizi ni huyo mama mtu mzima

KIuhalisia ungetakiwa uone haya kusimulia hizi habari

Kati yako na yeye, wewe ndio victim. Huna lolote utaweza mfanyia ukajiona uko juu yake. Anakuswaga kama ng'ombe

Bizzare world. Kama tuko kwenye kioo vile
 
Amenizidi kiumri na miaka kumi na tatu.lakini kwake napata furaha ya moyo.yy saiv ni demu wangu ninayevimba naye kitaa.anabonge la kebo ana shepu balaa.
Kwani kuna mtu kakwambia kumiliki hiyo nyara ni haramu?

Au umeamua tu kuturingishia sisi tusiokuwa nacho?

Maana umeongea kwa kujidai sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom