N ngelike but izo name ...kaka umetisha, ila umekosea kuigawa hio hela, Magufuli angebet na bilioni 2, Ndalichako bilioni 2, Majaliwa bilioni 1 na Samia bilioni 1, shimo likitema hadi madogo wa sekondari lazma wapate mkopo dyadyadyeki
Sasa kwenye jukwaa la utani wewe unataka watu wawe serous?? Wewe binti wa wapi??Utakuwa wa Chato tu!Acha ....mbavu kwenye mambo serious