Hili ndio suluhisho la kupata mikopo kwa kila mwanafunzi wa chuo kikuu 2016/2017

kaka umetisha, ila umekosea kuigawa hio hela, Magufuli angebet na bilioni 2, Ndalichako bilioni 2, Majaliwa bilioni 1 na Samia bilioni 1, shimo likitema hadi madogo wa sekondari lazma wapate mkopo dyadyadyeki
 
Ila huu mkeka Nina wasiwasi na Dortmund kwakweli hawakawii kuharibu mambo
 
Huu uzi naufuta kukosa mkopo tusikiage hapa dogo kakosa nae mkopo dah tuacheni masikhara
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom