Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,310
- 5,157
Dah we jamaa unazingua sanaNipo ndan ya basi nimekaa na papuchi, nimenunua korosho kiroho safi nikasema nimgawie kidogo basi kakinga mikono miwili ile kumimina tu kumbe nimeshika pakti vibaya nashtuka zimeenda nyingi kwake yani nimebaki na za kusuuzia mdomo tu.
Huyu demu sijui ni chuma ulete?
Sent using Jamii Forums mobile app



