Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Kwan yy alitumwa kupokea??? Tatizo lenu mnajiona mpo special Sana Sasa dawa ni kupiga mbupu mpaka mnyooke
We jamaaa ni nyoko sanaNipo ndan ya basi nimekaa na papuchi, nimenunua korosho kiroho safi nikasema nimgawie kidogo basi kakinga mikono miwili ile kumimina tu kumbe nimeshika pakti vibaya nashtuka zimeenda nyingi kwake yani nimebaki na za kusuuzia mdomo tu.
Huyu demu sijui ni chuma ulete?
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani nimecheka mpaka nimepaliwa na mate
Umeandika kwa hasira mkuuKwan yy alitumwa kupokea??? Tatizo lenu mnajiona mpo special Sana Sasa dawa ni kupiga mbupu mpaka mnyooke
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia mkuu Kuna mtu namvizia hapa lazima nimpige ukuni Leo mwache
Pole aiiseee...maana hakawii kutafuna hapo punje 3 na nyingine anatupa dirishani,kashiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahha na wewe ungekinga mikono yoteKilichoniuma zaidi ni kwamba nimetafuna zangu mpaka zimeisha, yeye bado anaendelea kutafuna tu . Nimetamana nimnyang'anye
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan alinichosha hapo alipokinga mikono miwili tuWe jamaaa ni nyoko sana![]()
![]()
![]()
![]()
yaani nimecheka mpaka nimepaliwa na mate
Pole sana mdau bahati mbaya tu nunua zingine kwa chinga hapo dirishani
Ila duh wewe kiboko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app


Nipo ndan ya basi nimekaa na papuchi, nimenunua korosho kiroho safi nikasema nimgawie kidogo basi kakinga mikono miwili ile kumimina tu kumbe nimeshika pakti vibaya nashtuka zimeenda nyingi kwake yani nimebaki na za kusuuzia mdomo tu.
Huyu demu sijui ni chuma ulete?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha papuchi powerNipo ndan ya basi nimekaa na papuchi, nimenunua korosho kiroho safi nikasema nimgawie kidogo basi kakinga mikono miwili ile kumimina tu kumbe nimeshika pakti vibaya nashtuka zimeenda nyingi kwake yani nimebaki na za kusuuzia mdomo tu.
Huyu demu sijui ni chuma ulete?
Sent using Jamii Forums mobile app