Hili ndilo tatizo la Zitto Kabwe

Hili ndilo tatizo la Zitto Kabwe

Hata wewe upupu wote huu ulotumia muda wako kuuharisha Ni njaa inayokusibu kuvizia uteuzi....kwanini wasomi wakitanzania mnajipofusha kwa yanayoendelea nchi hii....mnaandaa kongamano la KUSIFIA kweli!!!? hao ni wasomi wa UDSM ninayoijua Mimi!!?
 
Anguko la Zitto

Anguko la zitto

Hili neno limeanza kutumika toka yupo Chadema lakini sijaona akianguka.
 
tangia zitto amalize elimu yake amewahi kufanya kazi nyingine yoyote zaidi ya siasa.Kwa kifupi hajawai kwa hiyo Zitto ni mwanasiasa zaidi ya hiyo elimu aliyosomea kwani hajawahi kuitumia kwa vitendo. Kuna kauli zake nyingine anatoa bila kujua madhara yake kwani wakati wengi tunajua kuna mauaji ya polisi na raia lakini idadi aliyotoa ya raia kuuawa ni ya uongo lakini yeye kwa kutaka na sifa na kuchafua nchi akaenda kuitangaza.Lakini inawezekana serikali ilishamjua ni mtu wa kupenda sifa ikamlisha habari za uongo ili waweze kumshugurikia.Kumbuka huyu ni mtu anayejiita jasiri ambaye aliutangazia umma wa watanzania kuwa anajua watu walioficha pesa uswisi lakini mpaka leo hajawataja na hao waandishi wanapokutana naye wanasahau kumwuliza kwanini mpaka leo hakuwataja sasa swali lakujiuliza huwa anatumia fursa hiyo kutafuta sifa au kupewa rushwa .
 
Kama hujasoma USISOME
Ahsante! Nimesoma title nikapita juu kwa juu kuangalia urefu wa uzi, nikarudi kwenye comments kuona kama kuna comment itanishawishi kurudi kusoma kwa umakini zaidi.
La haulaaa! Nakutana na comment yako ikinionya nisirudi tena kusoma..... Hahhaa ...! Ahsante mkuu
 
Kuna hoja badala ya kuleta upatanisho inaleta utenganisho kipindi hiki kigumu cha kujenga uchumi ni lazima watu waumie na kumwaga damu ili tuvuke hapa wanaopinga ili tusisonge mbele ni kuwahifadhi sehemu kwa muda ili tuwaache wenye nia thabiti ya kujenga nchi wafanye kwa uhuru.Baada ya miaka mitano tutachuja na kupembua na kuona kwa umoja wetu nini cha kufanya.
 
Big up mkuu kwa mchango wako, maoni yako yanatoa picha ya aina ya wafuasi wa upinzani hapa Tanzania kwa 78%....yaani hata uwezo wa kuchambua hoja ndogo kama ya muanzisha mada huna alafu wewe huyu huyu udadavue sera za chama chako.
Mtoa hoja hana jipya zaidi ya wivu,kwani kufahamu mambo mengi ni kujifanya mjuaji.Zitto ana akili nyingi kumzidi mtoa hoja japo hanizidi akili mimi.nchi hii wasomi wake ni kama vile vyote vinafyohifadhiwa chooni.
 
*HILI NDIO TATIZO LA ZITTO KABWE.*

Novemba 03, 2018

Jana Ijumaa Zitto Kabwe Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo amepata dhamana baada ya kushikiliwa na polisi kwa siku 2.

Zitto alikamatwa kutokana na kauli zake kuwa Jeshi la Polisi limeua watu zaidi ya 100 katika mapigano huko Uvinza Kigoma. Katoa kauli hiyo akiwa hana ushahidi na yeye mwenyewe hakuwepo eneo la tukio.

Alitaka kuwaaminisha Watanzania na dunia nzima kuwa Serikali ya Tanzania kupitia Jeshi la Polisi inaendesha mauaji ya watu wengi. Hizi sio tuhuma ndogo, zinawaogofya mataifa yote duniani na zaidi zinawaogofya Watanzania wenyewe kwa kutaka kujenga taswira kuwa Tanzania hakuna amani tena na kumetapakaa mauaji yanayofanywa na Serikali.

Tunatambua lengo la Zitto ni kuchochea chuki kwa wananchi ili waichukie Serikali na pengine watimize lengo lake la kuingia kwenye mapambano na vyombo vya dola.

Tunafahamu lengo la Zitto ni kuichonganisha Tanzania na mataifa ya nje kwa kuonesha sura mbaya inayothibitisha matakwa yake ya kisiasa kuwa uongozi uliopo madarakani haufai na unapaswa kuondolewa.

Kwa alipofikia Zitto Kabwe sasa hivi yeye ni mjuzi wa kila kitu na msemaji wa kila kitu.

Na hili ndilo kosa kubwa la Mwanasiasa huyu.

Zitto anajiona ana akili kuliko mtu mwingine yeyote Tanzania, jana tu alipotoka ametoa kauli kuwa washiriki wa Kongamano la Chuo Kikuu ambalo Rais Magufuli alishiriki wana UKASUKU. Ana maana Maprofesa, Madaktari, Wasomi mbalimbali, wanafunzi na viongozi waliohudhuria kongamano hilo walikuwa wanachangia upuuzi kwamba angekuwepo yeye ndio angezungumza sawasawa.

Ana maana wale wote waliozungumza ni VILAZA yaani akina Prof. Mukandala, Prof Moshi, Prof. Mkumbo, Prof. Qorro, Prof. Shivji na wengine wengi.

Sasa hapa ndipo anapokosea Zitto. Anajiona yeye anajua kuliko mtu mwingine yeyote hapa Tanzania. Watu wana namna hii kamwe huwa hawafanikiwi na hili ndilo anguko la Zitto Kabwe.

Kutekwa kwa Mo Dewji alitoa kauli za dharau dhidi ya Polisi kana kwamba yeye ndio anajua ulinzi na usalama wa Raia na Mali zao kuliko polisi wote wa nchi hii.

Kwenye korosho Zitto Kabwe ndio mtaalamu aliyebobea katika uzalishaji na masoko ya korosho kuliko mtu yeyote hapa Tanzania na yeye ndio mwenye haki miliki ya kutoa maelekezo ya namna gani zao hili liendeshwe.

Uchumi wa Tanzania, Zitto Kabwe ndio anajua kila kitu kuliko BOT, Wizara ya Fedha, wasomi, Mawaziri, Wabunge na wananchi wote wa Tanzania.

Sheria za Tanzania Zitto Kabwe ndiye anajua zaidi kuliko Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake, Wabunge, Mawakili na kila mwananchi wa Tanzania.

Mahusiano ya kimataifa, Zitto Kabwe ndio mwenyewe. Hata nguli wa Diplomasia Balozi Augustine Mahiga haoni ndani. Na mengine mengimengi.

Tena sasa anatumia neno lake maarufu kuwaita watu wengine ni MAZWAZWA. Yaani Watanzania wote Mazwazwa isipokuwa yeye.

Naipongeza sana Serikali kwa hatua inazochukua dhidi ya mtu huyu, nampongeza Rais Magufuli kwa jinsi anavyosimamia msimamo wa kuwataka Watanzania wafanye kazi. Wapiga maneno wa aina ya Zitto Kabwe watatuchelewesha sana na kuwaendekeza ni sawa na kulikabidhi Taifa kwa wahuni.

Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa kumkamata na natarajia atafunguliwa mashitaka ili athibitishe watu 100 waliouawa huko Uvinza Kigoma, vinginevyo afungwe gerezani kama wanavyofungwa Watanzania wengine wanaokutwa na hatia.

Akifingwa huyu tutapata muda wa kufanya kazi na zaidi tutakuwa tumemtimizia kiu yake ya kukamatwa na Polisi na kisha kufungwa maana kwa anayoyafanya ni dhahiri anataka kukamatwa na kufungwa ili apate umaarufu wa kisiasa na ndio maana alipotoka mahabusu kaanza kujifananisha na Nelson Mandela.

Amesahau kuwa Nelson Mandela alikuwa anapigania uhuru wa Afrika Kusini na yeye anapigania tumbo lake baada ya Serikali ya Awamu ya Tano kubana mianya yake ya upigaji wa hela kupitia kamati ya Bunge. Amebaki kupokea hela za Wazungu wanaomfadhili aje avuruge Tanzania. Kwingine kumebana.

Aidha, Zitto anakosea sana kuweka juhudi nyingi za kutafuta kujijenga yeye binafsi kisiasa ilihali chama chake cha ACT kipo hoi taabani, wanachama wanamkimbia, viongozi wanamkimbia, amebaki na vijana wachache anaowatumia kujijenga. Lakini kiuhalisia hivi sasa anaendesha chama chake kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Hajali hata kuwapigania wananchi wa Kigoma Mjini, bila shaka anatambua kuwa 2020 hatakuwa Mbunge kwa hiyo anafanya fujo za mwishomwisho na kukusanya fedha za Wazungu anaowadanganya kuwa upinzani wa Tanzania una uwezo wa kushika madaraka ya nchi katika uchaguzi mkuu wa 2020.

Mwisho niseme kinachompata Zitto leo ni haki yake na anastahili. Kwa tulipofikia hakuna jema kwake. Kila kinachofanywa na Serikali ni kibaya na akilala akiamka anafikiria kuichafua nchi na kuichonganisha Serikali na wananchi. Naamini Serikali inaliona jambo hili na itaendelea kumdhibiti.

Mungu Ibariki Afrika.
Mungu Ibariki Tanzania.
Maelezo marefu sana,ila kuna jambo moja linajidhihirisha kwako,WIVU unakusumbua.
Unafahamu kwamba Zitto ni mtu smart sana,ungetamani uwaone unaowahusudu wakifikiri kama yeye ila haiwezekani,sasa wivu kwamba anajua zaidi unakufanya umchukie bila sababu yoyote ya msingi kama uzi wako usivyo na mashiko.
 
Tatzo la Zitto yeye anaongea, wengine tunakaa zetu kimnya. Kwa hiyo kwa akili zako ule ulikua mdahalo? Au amefanya kuwatumia maprofesa wamsifie mbele ya media basi! Na kwa nini serikal inatumia nguvu nyingi kutuambia ilichofanya, hofu ya nn? Mara kongamano mara vipindi tunatekeleza; Kwan sisi hatuoni? Watu wanaokotwa kwenye viroba hatuoni? Watumishi sio mishahara wala madaraja kuongezwa kwan hawajui? Watu kutekwa si kila mtu anatembea na roho mkononi, hata bashe wa ccm alitekwa? Watu kupigwa risasi na vyombo vyake (akwilina) hatuoni? Watu kushambuliwa kwa risasi mbele ya vyombo na macctv kwan hatuoni? Maprofesa wa Tanzania wanaendeshwa na tumbo sio wa kuwapa credibility yoyote mtu kama kabudi kwa sasa hawezi kuongea ukamwambia mtu eti anaeongea n proffesa !
Na wanapoona watu wako kimya wanafikiri wanakubali sana wayafanyayo.
 
Anguko la Zitto

Anguko la zitto

Hili neno limeanza kutumika toka yupo Chadema lakini sijaona akianguka.
vichwa vingine vya ajabu sana,
Hata akianguka wao watanufaikia nini!
 
tangia zitto amalize elimu yake amewahi kufanya kazi nyingine yoyote zaidi ya siasa.Kwa kifupi hajawai kwa hiyo Zitto ni mwanasiasa zaidi ya hiyo elimu aliyosomea kwani hajawahi kuitumia kwa vitendo. Kuna kauli zake nyingine anatoa bila kujua madhara yake kwani wakati wengi tunajua kuna mauaji ya polisi na raia lakini idadi aliyotoa ya raia kuuawa ni ya uongo lakini yeye kwa kutaka na sifa na kuchafua nchi akaenda kuitangaza.Lakini inawezekana serikali ilishamjua ni mtu wa kupenda sifa ikamlisha habari za uongo ili waweze kumshugurikia.Kumbuka huyu ni mtu anayejiita jasiri ambaye aliutangazia umma wa watanzania kuwa anajua watu walioficha pesa uswisi lakini mpaka leo hajawataja na hao waandishi wanapokutana naye wanasahau kumwuliza kwanini mpaka leo hakuwataja sasa swali lakujiuliza huwa anatumia fursa hiyo kutafuta sifa au kupewa rushwa .
Hakuna shida kwa mwanasiasa kutafuta sifa kama havunji sheria za nchi.
Rushwa ni kosa la jinai,mfungulieni kesi mahakamani afungwe ikithibitika.
 
Tatzo la Zitto yeye anaongea, wengine tunakaa zetu kimnya. Kwa hiyo kwa akili zako ule ulikua mdahalo? Au amefanya kuwatumia maprofesa wamsifie mbele ya media basi! Na kwa nini serikal inatumia nguvu nyingi kutuambia ilichofanya, hofu ya nn? Mara kongamano mara vipindi tunatekeleza; Kwan sisi hatuoni? Watu wanaokotwa kwenye viroba hatuoni? Watumishi sio mishahara wala madaraja kuongezwa kwan hawajui? Watu kutekwa si kila mtu anatembea na roho mkononi, hata bashe wa ccm alitekwa? Watu kupigwa risasi na vyombo vyake (akwilina) hatuoni? Watu kushambuliwa kwa risasi mbele ya vyombo na macctv kwan hatuoni? Maprofesa wa Tanzania wanaendeshwa na tumbo sio wa kuwapa credibility yoyote mtu kama kabudi kwa sasa hawezi kuongea ukamwambia mtu eti anaeongea n proffesa !
Palikuwa na maprofesa pale?.Haaaahaaaaaaaaa.Kilikuwa kikao cha ndezi.
 
*HILI NDIO TATIZO LA ZITTO KABWE.*

Novemba 03, 2018

Jana Ijumaa Zitto Kabwe Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo amepata dhamana baada ya kushikiliwa na polisi kwa siku 2.

Zitto alikamatwa kutokana na kauli zake kuwa Jeshi la Polisi limeua watu zaidi ya 100 katika mapigano huko Uvinza Kigoma. Katoa kauli hiyo akiwa hana ushahidi na yeye mwenyewe hakuwepo eneo la tukio.

Alitaka kuwaaminisha Watanzania na dunia nzima kuwa Serikali ya Tanzania kupitia Jeshi la Polisi inaendesha mauaji ya watu wengi. Hizi sio tuhuma ndogo, zinawaogofya mataifa yote duniani na zaidi zinawaogofya Watanzania wenyewe kwa kutaka kujenga taswira kuwa Tanzania hakuna amani tena na kumetapakaa mauaji yanayofanywa na Serikali.

Tunatambua lengo la Zitto ni kuchochea chuki kwa wananchi ili waichukie Serikali na pengine watimize lengo lake la kuingia kwenye mapambano na vyombo vya dola.

Tunafahamu lengo la Zitto ni kuichonganisha Tanzania na mataifa ya nje kwa kuonesha sura mbaya inayothibitisha matakwa yake ya kisiasa kuwa uongozi uliopo madarakani haufai na unapaswa kuondolewa.

Kwa alipofikia Zitto Kabwe sasa hivi yeye ni mjuzi wa kila kitu na msemaji wa kila kitu.

Na hili ndilo kosa kubwa la Mwanasiasa huyu.

Zitto anajiona ana akili kuliko mtu mwingine yeyote Tanzania, jana tu alipotoka ametoa kauli kuwa washiriki wa Kongamano la Chuo Kikuu ambalo Rais Magufuli alishiriki wana UKASUKU. Ana maana Maprofesa, Madaktari, Wasomi mbalimbali, wanafunzi na viongozi waliohudhuria kongamano hilo walikuwa wanachangia upuuzi kwamba angekuwepo yeye ndio angezungumza sawasawa.

Ana maana wale wote waliozungumza ni VILAZA yaani akina Prof. Mukandala, Prof Moshi, Prof. Mkumbo, Prof. Qorro, Prof. Shivji na wengine wengi.

Sasa hapa ndipo anapokosea Zitto. Anajiona yeye anajua kuliko mtu mwingine yeyote hapa Tanzania. Watu wana namna hii kamwe huwa hawafanikiwi na hili ndilo anguko la Zitto Kabwe.

Kutekwa kwa Mo Dewji alitoa kauli za dharau dhidi ya Polisi kana kwamba yeye ndio anajua ulinzi na usalama wa Raia na Mali zao kuliko polisi wote wa nchi hii.

Kwenye korosho Zitto Kabwe ndio mtaalamu aliyebobea katika uzalishaji na masoko ya korosho kuliko mtu yeyote hapa Tanzania na yeye ndio mwenye haki miliki ya kutoa maelekezo ya namna gani zao hili liendeshwe.

Uchumi wa Tanzania, Zitto Kabwe ndio anajua kila kitu kuliko BOT, Wizara ya Fedha, wasomi, Mawaziri, Wabunge na wananchi wote wa Tanzania.

Sheria za Tanzania Zitto Kabwe ndiye anajua zaidi kuliko Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake, Wabunge, Mawakili na kila mwananchi wa Tanzania.

Mahusiano ya kimataifa, Zitto Kabwe ndio mwenyewe. Hata nguli wa Diplomasia Balozi Augustine Mahiga haoni ndani. Na mengine mengimengi.

Tena sasa anatumia neno lake maarufu kuwaita watu wengine ni MAZWAZWA. Yaani Watanzania wote Mazwazwa isipokuwa yeye.

Naipongeza sana Serikali kwa hatua inazochukua dhidi ya mtu huyu, nampongeza Rais Magufuli kwa jinsi anavyosimamia msimamo wa kuwataka Watanzania wafanye kazi. Wapiga maneno wa aina ya Zitto Kabwe watatuchelewesha sana na kuwaendekeza ni sawa na kulikabidhi Taifa kwa wahuni.

Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa kumkamata na natarajia atafunguliwa mashitaka ili athibitishe watu 100 waliouawa huko Uvinza Kigoma, vinginevyo afungwe gerezani kama wanavyofungwa Watanzania wengine wanaokutwa na hatia.

Akifingwa huyu tutapata muda wa kufanya kazi na zaidi tutakuwa tumemtimizia kiu yake ya kukamatwa na Polisi na kisha kufungwa maana kwa anayoyafanya ni dhahiri anataka kukamatwa na kufungwa ili apate umaarufu wa kisiasa na ndio maana alipotoka mahabusu kaanza kujifananisha na Nelson Mandela.

Amesahau kuwa Nelson Mandela alikuwa anapigania uhuru wa Afrika Kusini na yeye anapigania tumbo lake baada ya Serikali ya Awamu ya Tano kubana mianya yake ya upigaji wa hela kupitia kamati ya Bunge. Amebaki kupokea hela za Wazungu wanaomfadhili aje avuruge Tanzania. Kwingine kumebana.

Aidha, Zitto anakosea sana kuweka juhudi nyingi za kutafuta kujijenga yeye binafsi kisiasa ilihali chama chake cha ACT kipo hoi taabani, wanachama wanamkimbia, viongozi wanamkimbia, amebaki na vijana wachache anaowatumia kujijenga. Lakini kiuhalisia hivi sasa anaendesha chama chake kwa kutumia mitandao ya kijamii.

Hajali hata kuwapigania wananchi wa Kigoma Mjini, bila shaka anatambua kuwa 2020 hatakuwa Mbunge kwa hiyo anafanya fujo za mwishomwisho na kukusanya fedha za Wazungu anaowadanganya kuwa upinzani wa Tanzania una uwezo wa kushika madaraka ya nchi katika uchaguzi mkuu wa 2020.

Mwisho niseme kinachompata Zitto leo ni haki yake na anastahili. Kwa tulipofikia hakuna jema kwake. Kila kinachofanywa na Serikali ni kibaya na akilala akiamka anafikiria kuichafua nchi na kuichonganisha Serikali na wananchi. Naamini Serikali inaliona jambo hili na itaendelea kumdhibiti.

Mungu Ibariki Afrika.
Mungu Ibariki Tanzania.
Sasa unakataa nini...Zitto is smart kuliko hilo zigo lenu, ndo maana anawatisha akizungumza!
 
Big up mkuu kwa mchango wako, maoni yako yanatoa picha ya aina ya wafuasi wa upinzani hapa Tanzania kwa 78%....yaani hata uwezo wa kuchambua hoja ndogo kama ya muanzisha mada huna alafu wewe huyu huyu udadavue sera za chama chako.
Naunga mkono hoja, asilimia kubwa ya bavicha kichwani ni WEUPE. Wanachojua sana ni kejeli, Matusi na vitu vya kipuuz.
 
Back
Top Bottom