Hili ndilo limbwata la kumpa mkeo na kumfunga mumeo

Hili ndilo limbwata la kumpa mkeo na kumfunga mumeo

Maybe true or maybe not true, people differ in alot of aspect........
 
Basi ngoja nikafunge bembea hata jikoni maana hii ya kibembea ni kali
 
Mi nafikiri kwa kipind hiki tuna limbwata la kuchelewesha kukimbiwa tuu na kuvumiliwa japo Kwa mda nalo Ni pesa wife akihema tuu MPE pesa akinuna tuu MPE pesa hapo hata kama goi goi life will goes on!
 
Back
Top Bottom