pole mkuu ajali haina kinga,hivi watu wangapi wamekufa hadi sasa nawangapi wamejeruhiwa hahahaaaaaaAkipaki matatizo asipopaki nae ndo kama haya du........ila imeniuma....
Utani mwingine sio mzuri Kiongozi..
We acha tu Kiongozi.Akipaki matatizo asipopaki nae ndo kama haya du........ila imeniuma....
mbaya sana, basi limepata ajali darajani.....!!!
ARDA TURAN ni mpenzi wa GALATASARAY,lakini EPL ana-support LIVERPOOL na ndio DREAM TEAM yake ,alikuwa analipiza ya J2.shenzi zake jumapili aliniharibia siku hadi leo sijachanganya.....
acha ajue machungu ya kufungwa
Me naona kapaki bajaji