Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Ndio maana nataka tuzijadili zote hizo sababu yake ni nini? Na tutajivua vipi hili janga!! Madaraka tuwape sisi bado wasitake tuwahoji? Kwanini wana VIBRI na JEURI???Mkuu umesahau ile ya hivi majuzi ya kuitwa Mbayuwayu.
wivu wa kiketanzania ya miaka ipatayo kumi na sita sasa imejaaliwa kuwa na viongozi, wanasiasa na watawala majeuri!!!
Wanajibu watakavyo kana kwamba wale wanaojibiwa sio waliowaweka madarakani pindi wakihojiwa...
Nitawakumbusha baadhi ya kauli zao:
"hata mkila nyasi ndege itanunuliwa..."
"wapuuzi wakubwa na wana wivu wa kijinga!"
"ulitaka posho aichukue baba yako!"
"nyie vipi? Hayo si maswali ya kuniuliza ni mambo yangu binafsi!"
"nimesema sina majibu nendeni kokote!"
mnaweza kukumbuka zinginezo na tujiulize kwanini hawa viongozi na wanasiasa zetu wana viburi na jeuri hizi?
"Mimi sio wingu la mvua kwenda kuleta mvua mtera"
ahaa! ndio ndio mkuu ilisemawa:"Sina maana hiyooo"
ahaa! ndio ndio mkuu ilisemawa:
"ukitaka kula lazima uliwe!!"
ahaa! ndio ndio mkuu ilisemawa:
"ukitaka kula lazima uliwe!!"
hata we umekurupuka. Tuambie nani kasema ndo utaelewekaTANZANIA YA MIAKA IPATAYO KUMI NA SITA SASA IMEJAALIWA KUWA NA VIONGOZI, WANASIASA NA WATAWALA MAJEURI!!!Wanajibu watakavyo kana kwamba wale wanaojibiwa sio waliowaweka madarakani pindi wakihojiwa...Nitawakumbusha baadhi ya kauli zao:"HATA MKILA NYASI NDEGE ITANUNULIWA...""WAPUUZI WAKUBWA NA WANA WIVU WA KIJINGA!""ULITAKA POSHO AICHUKUE BABA YAKO!""NYIE VIPI? HAYO SI MASWALI YA KUNIULIZA NI MAMBO YANGU BINAFSI!""NIMESEMA SINA MAJIBU NENDENI KOKOTE!"Mnaweza kukumbuka zinginezo na tujiulize kwanini hawa viongozi na wanasiasa zetu wana viburi na jeuri hizi?
Unless wewe ni mtoto mdogo au si mfuatiliaji wa mambo huwezi kutoelewa kilichosemwahata we umekurupuka. Tuambie nani kasema ndo utaeleweka