Hili nalo la nssf rais litazame upya

Hili nalo la nssf rais litazame upya

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Sheria ya Mafao ya kukosa ajira (Unemployment benefits) kwa sasa mwanachama anapata 33.3% ya msharaha wake. Ambayo yanalipwa kwa miezi sita tu. Baada ya hapo mfuko unakuchoka na kukuacha upambane na hali ngumu ya maisha.

Ukizingatia ugumu wa kupata ajira ilivyo, napendekeza yafuatayo:
1. Mifuko ya Taifa ya hifadhi iwe inalipa hiyo 33.3% kila mwezi hadi mwanachama atakapopata ajira. Pesa hiyo isikatwe kwenye michango ya mwanachama coz tunajua NSSF wanafanya biashara na kupata faida.

2. IKIWA Option ya kwanza inashindikana, basi mifuko iwape wanachama waliopoteza ajira au walioacha pesa yao yote wakapambane na maisha. Uzuri ni kwamba watanzania wengi ni wapambaji. Ukitaka kujua hilo angalia ni asilimia ngapi ya watanzania wameajiriwa na ngapi inajipambania tena bila msaada wa yeyote.

Hili ni ombi kwa rais kwani watunga sheria wao wamejipendelea tayari kwao maisha yanasonga
 
Nakazia hapa..
 
Reforms zifanyike
IMG_20250610_204958.jpg
 
Back
Top Bottom