UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,528
- 7,732
Wow, .........I think you could do better than that!
Development is about improvement not perfection cause there is no perfection in this non-perfect world. Katika JF tunategemewa kuwa great thinkers tusaidie policy makers kukaribia perfection ili wananchi wasio na sauti waweze kunufaika na mawazo yetu. Inashangaza pale tulio katika JF tunaposhangilia move za hatari kwa taifa letu ambazo mwisho wake ni matatizo kwa wananchi wote.
"Endapo umeomba Urais mara ya kwanza ukakosa, halafu unasusia kila kitu bila hata ku-recognise effort za msingi ambazo taasisi kama NEC wamezifanya ku-improve transparency katika suala zima la uchaguzi inaleta wasiwasi endapo utapata nafasi hiyo utaweza kutoka freely muda wa kupumzika ukiwadia!!!"
Kwa vyovyote vile hiyo siyo sifa nzuri sana kwa waheshimiwa tuliowapigia kura tukidhani wanania njema na Taifa letu.
Hapa mkuu wangu umechemsha!Development is about improvement not perfection cause there is no perfection in this non-perfect world. Katika JF tunategemewa kuwa great thinkers tusaidie policy makers kukaribia perfection ili wananchi wasio na sauti waweze kunufaika na mawazo yetu. Inashangaza pale tulio katika JF tunaposhangilia move za hatari kwa taifa letu ambazo mwisho wake ni matatizo kwa wananchi wote.
"Endapo umeomba Urais mara ya kwanza ukakosa, halafu unasusia kila kitu bila hata ku-recognise effort za msingi ambazo taasisi kama NEC wamezifanya ku-improve transparency katika suala zima la uchaguzi inaleta wasiwasi endapo utapata nafasi hiyo utaweza kutoka freely muda wa kupumzika ukiwadia!!!"
Kwa vyovyote vile hiyo siyo sifa nzuri sana kwa waheshimiwa tuliowapigia kura tukidhani wanania njema na Taifa letu.
Development is about improvement not perfection cause there is no perfection in this non-perfect world.
Are you abroad?
Development is about improvement not perfection cause there is no perfection in this non-perfect world. Katika JF tunategemewa kuwa great thinkers tusaidie policy makers kukaribia perfection ili wananchi wasio na sauti waweze kunufaika na mawazo yetu. Inashangaza pale tulio katika JF tunaposhangilia move za hatari kwa taifa letu ambazo mwisho wake ni matatizo kwa wananchi wote.
"Endapo umeomba Urais mara ya kwanza ukakosa, halafu unasusia kila kitu bila hata ku-recognise effort za msingi ambazo taasisi kama NEC wamezifanya ku-improve transparency katika suala zima la uchaguzi inaleta wasiwasi endapo utapata nafasi hiyo utaweza kutoka freely muda wa kupumzika ukiwadia!!!"
Kwa vyovyote vile hiyo siyo sifa nzuri sana kwa waheshimiwa tuliowapigia kura tukidhani wanania njema na Taifa letu.
We kwa mtazamo wako unaona NEC walikuwa transparent??
I am not surprised unaona kudai haki na kutokukubaliana na dhuluma ni jambo la hatari kwa taifa
May be you are right may be not, inategemea kichwani kuna nini!!!
My take: comparing to previous elections nadhani this time NEC wamejitahidi kiasi kikubwa kuwa transparent and I believe will continue improving.
Kuhusu kudai haki nadhani CHADEMA na opposition kwa ujumla wana chance kubwa ya kutumia platform ya Bunge kuonyesha mchango wao kwa taifa hasa ukizingatia kuwa wamejitahidi kuongeza idadi ya wabunge tena wenye upeo wa kufikiri. To me the option chosen now haitakuwa na tija kwetu wapiga kura.
Kujitahidi kwa kiasi kikubwa is not enough. Unakumbuka Kikwete alisema nini wakati alipotangazwa mshindi na NEC? Alisema kuna haja ya kuhakikisha kuwa NEC ni chombo independent. Unadhani kwa nini alisema hivyo? Mwaka 2005 baada ya ushindi wake Kikwete huyo huyo alisema kuwa CCM inapaswa kutafuta njia za kuhakikisha kuwa hela chafu hazitumiki katika uchaguzi. This was before EPA scandal broke and the Tanzanians were informed that CCM used "stolen Moenye" to win an election. Then 2 days before the election the same Kikwete lays out in detail how votes are stolen. Are these just coincidences? The President of the people of the United Republic of Tanzania tells the people how votes are stolen? And then you tell us NEC wamejitahidi? Try again.My take: comparing to previous elections nadhani this time NEC wamejitahidi kiasi kikubwa kuwa transparent and I believe will continue improving.