Hili mwalifurahia lakini .... Look beyond ...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili mwalifurahia lakini .... Look beyond ......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by truth, Nov 18, 2010.

 1. t

  truth Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Development is about improvement not perfection cause there is no perfection in this non-perfect world. Katika JF tunategemewa kuwa great thinkers tusaidie policy makers kukaribia perfection ili wananchi wasio na sauti waweze kunufaika na mawazo yetu. Inashangaza pale tulio katika JF tunaposhangilia move za hatari kwa taifa letu ambazo mwisho wake ni matatizo kwa wananchi wote.

  "Endapo umeomba Urais mara ya kwanza ukakosa, halafu unasusia kila kitu bila hata ku-recognise effort za msingi ambazo taasisi kama NEC wamezifanya ku-improve transparency katika suala zima la uchaguzi inaleta wasiwasi endapo utapata nafasi hiyo utaweza kutoka freely muda wa kupumzika ukiwadia!!!"

  Kwa vyovyote vile hiyo siyo sifa nzuri sana kwa waheshimiwa tuliowapigia kura tukidhani wanania njema na Taifa letu.
   
 2. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,508
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  acha zako, hawakususia wananchi wamesusia hotuba ya mchakachuaji aliyeingia madarakani kwa hila
   
 3. t

  truth Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika kama unajua unachokisema. Sina uhakika pia kama that is a great thought, anyway thanks for the comment!!!
   
 4. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,508
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  transparency ipi?
   
 5. P

  Percival Salama Senior Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Acha fikra mgando
   
 6. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  truth you are not serious, wewe usipoiba usitake kusifiwa bali ukiiba shurti ukosolewe suala la kusifia nec kwamba nec wame onesha transparency ni upuuzi kwani from the very meaning of democracy inapaswa kuwa ni transparent. Pia huwezi kulaumu chadema kwa msimamo wao kwani wao hawapindishi, wanaishi kile wanachosema na kukiona, toka mwanzo wamekuwa na msimamo wa kukataa matokeo kwa vigezo ambavyo kila mtu hata kama ni mnafiki anajua kwamba kunauchakachuaji, sasa iwaje leo wakubali hali unajua kuna mambo hapo awali wameshakataa!! Sikulaumu kwani watz wengi tunakwama njiani kwa kutokuwa na msimamo kwani hata kipindi kingine tunaita Uovu kuwa wema kutokana na (hofu,uwoga na mazoea mabaya ya kuogopa ccm kuliko Mungu na kuheshimu chama kuliko serikali na wananchi walipa kodi
   
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,498
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  tusubiri 2015 wananchi wataamua tena nani anafaa
   
 8. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  You are the one who should look beyond.
   
 9. m

  mzungukichaa Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !....Hii inaonyesha akili yako ilivyo mgando wa kupambanua mambo.....Nadhani wewe utakuwa wa 'Taifa la kesho'...karaghabao..!
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 11,572
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ..miaka 40++ ya kuridhika na "JUHUDI" na "NIA NZURI" ndiyo imetufikisha hapa kwenye lindi la umasikini.

  ..sasa umefika wakati wa-Tanzania wawe more RESULTS oriented.

  ..kwa kifupi tunataka matokeo na siyo blah-blah.
   
 11. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wahenga wamesema usipoteze usipoteze muda kuongea na mpumbavu.....ila msaidie mjinga anaweza akaelewa. Pia usimuamshe alie lala. Ni wahenga walisema siyo mimi
   
 12. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #12
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha mbwembwe
   
 13. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,508
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  shukran!
   
 14. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sichangii mjadala wa kipuuzi.
   
 15. t

  truth Member

  #15
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  May be you are right may be not, inategemea kichwani kuna nini!!!
   
 16. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,068
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  "Endapo umeomba Urais mara ya kwanza ukakosa, NAOMBA UNIELEZE KATIBA IMEELEZA MTU AOMBE URAISI MARA NGAPI ILI AWEZE KUPATA HAKI YAKE KAMILI YA KUPEWA IDADI YA KURA ALIZOPIGIWA NA WANANCHI? AU UNATAKA KUHARARISHA WIZI WA KURA ULIOANZISHWA NA CCM KATIKA VIKAO VYAO NA KUUHAMISHIA KATIKA TUME ZA UCHAGUZI?
  halafu unasusia kila kitu NANI KAKWAMBI KUWA TUNASUSIA KILA KITU, MBONA BUNGENI CHADEMA IPO KAMA KAWAIDA NA TUNAENDELE AKUSHUGHULIKA NA SPIKA WENU WA KUCHAKACHUA. ILA HATUTAKI KUKAA MEZA MOJA NA MWIZI WA KURA ZA WATANZANIA.

  bila hata ku-recognise effort za msingi ambazo taasisi kama NEC wamezifanya ku-improve transparency katika suala zima la uchaguzi- NI EFFORT ZIPI UNAZOZIZUNGUMZIA HIZI ZA KUSHIRIKIANA NA WATOTO WA JK KUCHAKACHUA DAFATARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA NJIA YA MATANDAO NA KUIBA KURA KWA NJIA YA MATANDAO PIA AU NI ZINGINE?

  NAONA HAUNA HOJA ZOZOTE? KWA KAULI ZAKO UNAWEZA KUWA NI SEHEMU YA NEC
  .
   
 17. t

  truth Member

  #17
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Are you abroad?
   
 18. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,041
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Huna jipya mleta Mada, naona unajaribu kupindisha ukweli.

  sisi wananchi ndio tuliowachagua chadcema (as for me i voted for Mdee, diwani na Slaa) namaanisha nawakubali, na kwalichokifanya wamenipa raha na kuwafanya niwaamini zaidi, 2015 nitatumia hata gharama zangu binafsi kuhakikisha kila aliyekaribu na mimi anapiogia kura chadema ili tupate maendeleo ya kweli, we need change, toa mada yako iliyokaa ki'kutumwa zaidi.......

  LONG LIVE CHADEMAAAAAAAAAAAAAAA
   
 19. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,757
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mimi nashauri tuwe tunajadili hoja kama hizi tukijua pia sheria za nchi na hasa Katiba inasema nini kuhusu hoja tunayoijadili. Tatizo hapa siyo kuomba na kukosa kura bali kuchakachua matokeo ya kura - yaani, Chadema wanadai matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni tofauti na yale waliyonayo kutoka kwa mawakala wao. Na kwa vile serikali halali inachaguliwa kwa mfumo na mchakato halali, kama ikitokea kuna matatizo kwenye mchakato na halijatafutiwa ufumbuzi, wale wanaolalamikia mfumo au mchakato husika, wana haki ya kufanya malalamiko yao yasikilizwe na kufanyiwa kazi.

  Mamlaka husika zilitakiwa zilishughulikie hili na siyo kulaumu wale walioathirika na mchakato wenyewe. Walichokifanya Chadema ni haki yao ya Kikatiba kwani hawajavunja sheria yoyote kwa ktuoka nje ya bunge. Jambo la hatari, ambalo inabidi Watanzania tulitazame critically ni je tutaendelea kuhalalisha uchakachuaji kura kwa msingi wa 'might is right'? Hili ndilo jambo la hatari na source ya kile unachokilaumu wewe. Mbona hatulaani uchakachuaji wa kura bali tunalaani wanaodai kura zao zimechakachuliwa?
   
 20. T

  Tewe JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 719
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  real this is home of great thinkers, if you cant think, here is not your home!
   
Loading...