Matege
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 1,476
- 648
Tumia Ngoka 11...
hivi hii bado ipo mkuu???
Tumia Ngoka 11...
Tumia Ngoka 11...
.....hizi r'ships hizi zinahitaji roho wa Mungu kuzilinda,.....,,,,,,,,,labda na yeye kashakariri.......ukitoka hapa utaenda pale.....ukimgusa hapa,utamgusa pale inachosha..........by the way huyo wa kwanza,unayeenda mpaka goli nne.....nae ukimuweka ndani....mambo yatakuwa yale yale.....
Nikiwa uwanja wa nyumbani huwa napiga moja tu lakini linachukua kama 45 mnts hivi, wote tunatoka burudani tumeridhika. Sasa gemu la nje cup, manjonjo kibao ukiingia tu wanjani bao, mpka mwisho wa gemu kitu tatu au nne kama umekamia sana tano. Low performance nyumani haimaanishi kuwa ushakwisha, ni vizuri mara moja moja kupiga mechi za nje kujikumbushia performance.
Halafu unakuta jitu linadai nimeoa na nina mke na watoto kadhaaa!
Lakini unalikuta lina michepuko hata mi3
Kwa hiyo ndoa ndo imefanywa kivuli cha ufuska ama?????
Kama unapenda umalaya wewe usioe endelea kupambana na ulipotokea tuuu uone kama utapashinda!!
Ivi unahisi wa kwanza alikua na tatizo gani hata ushindwe kuperform vizuri?
Mkuu hayo yamekujaje?
Sitaki kuamini umevurugwa!
Hembu relax na usome mada vizuri then utoe possible reasons kwanini hali hiyo inatokea.
Kwanza mimi iko miss u mingi mingi!!!!!
Pili what is your possible solution ukizingatia mazoea?
Kivipi nisimzoee my buu wangu?
Hahahahaaaaaa! Wewe ni kitommbi meen!
After all umetoa ushauri murua sana, but i have a question!
Ivi unahisi nini kinakufanya nyumbani upige shoka moja ndefu na nini kinakufanya upige shoka ndogo ndogo zaidi ya tatu ukiwa nje?
Hapo kwenye ..... wa Mungu