Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
Habari za hapa.
Inatokea unafanya mapenzi na mschana lakini kadri siku zinavyosonga perfomance yako inapungua. Let say siku za mwanzo ulikuwa unapiga hata shoka nne na bado unadai shoo iendelee. but inafika wakati ukipiga kimoja tu gegedo linagoma kuendelea na gemu ingawa mwenyewe unapenda kuendea.
Chaajabu ni kwamba ukikutana na mwengine (may be yule wa kwanza mlishaachana kutokana na tatizo la kutomudu gemu au kwa sababu yoyote ile) unajikuta unapiga gemu za ukweli na tatizo la kutomudu gemu linakata kabisa.
Nachotaka kuelewa:
Kwa w/me.
Ni nini kinafanya ushindwe kupiga gemu katika scenario ya kwanza na nini kinafanya uperform vizuri kwa scenario ya pili? (ikiwa hujaexperience hiyo kitu hembu toa possible reasons)
Kwa w/ke.
Jee wadada mnalichuliaje suala la me wako kuperform vizuri siku za mwanzo na kuwa kilaza kadri siku zinavyosonga?
Swali kwa wote.
Jee kuna uhusiano na mambo ya kiswahili hapo?