Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,412
- 10,923
Mkuu..ndoa yako natumaini itakuwa imeshawiva..
Sasa Basi Wewe kupenda mwanamke mshinda juani akitafuta na kuwaacha watoto walelewe na housegirl...Huo Ni utashi wako na maamuzi yako...Wala Sio kosa.
Kama ulivyo na utashi wako..huyo wakupenda kiuno feni mke akae chumba kimoja akifua na kupiga story za majirani ndo utashi wake..
Nialike ndoa mkuuu.....tafadhali sana