Hili linanishangaza sana wadau...

Hili linanishangaza sana wadau...

According to ww nyie ndo mnaozalilishwa na wanawake eti mwanaume suruali

Maisha mafupi mno
Msingi ni uno

Pesa nitatafuta Mimi
 
O
Unakuta anasema yule hafai kuwa mke ukisikia sababu ni nini hajui kukatika kitandani, really dunia inakwenda kwa Kasi Sana kwenye suala la kuoa wanaume hawangalii tabia wanangalia mkatiko asee.

Binafsi Mimi mwanamke akionesha maskills mengi kama Jr Neymar huyo namuona mjinga Sana kwangu na sio kigezo Cha kumuoa.

Nataka mwanamke atayenipa channel ya maisha how to earn money and to progress sio kutwa mahaba sio mgegedo kila siku huyo piga chini fasta , point napenda mwanamke asiyependa ngono ndo maana naelekea kuchukua wife waisrael wa Tz wachaga hawa Dada wapo busy na maisha tena wapo seriously haswaaa.

Sio mke wa kutazama tamthilia kila kutwa lazma awe mpambanaji kuna leo na kesho .Sio mwanaume anajitamba yule ni gogo kitandani hajui kitu mwanamke ni skills za maisha sio hizo mbwembwe nyingi plus ujinga full stop nimeandika kwa jazba Sana ila message sent
Hongera andika, wosia kabisa
 
bora ujipigie NYETO tuu....wanawake tuachie WANAUME..........
 
Yule mwanasaikolojia anatuharibia Sana wanawake zetu na motivation speaker za hovyo simkubali hata kidogo namuona empyt Sana sijui udsm walimuaminije mpak waka mpe kazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Ujanja ujanja mwingi, hapa ndo tunaelewa wanawake wenye akili na mapopopa
 
Kila mmoja ana kigezo chake mzee, kila mmoja ana vipaumbele vyake, kuna wengine wao pesa wamejitoa wao kuzisaka mke yupo pale kwa ajili ya burudani mzee.

Sikupingi kwa kuwa ndio kipaumbele chako, lakini nakushangaa unaoshangaa wenzio na vipaumbele vyao.

Kuna vile vipaumbele vya msingi, mtu akikipata hicho hivyo vingine anaangalia jinsi gani ya kudili navyo.

Jifunze kuheshimu fikra za wengine.

Kwangu mimi kwanza ni vinne(4) vile mtume(s.a.w) alivyotuelekeza
Dini yake
Nasaba(ukoo) wake
Uzuri wake
Mali yake.
Kwa mimi humo ndio naamba ambaa na chaki, mola wangu akinipatia kama huyu sirembi muandiko kwenye imla, nainua chuma fasta naweka ndani, sababu mie lengo langu sio maisha haya tu ya duniani, haya ni mapito, nalenga kesho yangu, najitahidi duniani niishi vema na kesho yangu iwe njema.
 
Back
Top Bottom