Hili linanishangaza sana wadau...

Hili linanishangaza sana wadau...

... ahahaaa, mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu..

Acha uoga mzee,kumuhudumia mwanamke ni jukumu la mwanaume no matter,mwanamke ni kitulizo chetu na ndo ukamilifu wetu upo apo.
Unahudumia panapo faa sio kila mwanamke ni wakuhudumia as long umeumbwa mwanaume think twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yote hii woga wa maisha.
Pambana mkuu mwanamke hawezi kukutoa kimaisha, Usichopenda wenzio wanapenda
Btw ukishaoa Mchaga ukichoka kugeuza gogo ndanda cosovo wapo kwa ajili yako...kula hizo hela mnazochuma na mchaga.

Kila ka Kheir Mkuu
Wewe uliqualify kuolewa kwa ajili ulikuwa Jr skills hongera jubilee yenu ni lini ety

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo mwanaume anayesema anahitaji mwanamke mwenye heshima,utu,anayemjua Mungu na mazaga zaga ya chumbani

Kuhusu akili za maisha anakwambia watatumia zake(mwanaume)

Ni suala la nani anapenda nini
Mwanaume huyo akikwama ndo family itakuwa separately kutokana na leader kufail kunkuwa hakuna plan B
Joanah ebu toa ushuhuda wako kuhusu ww hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikukumbushe tu huko unakosema kwa waisrael sijui wachaga siku hizi napo kuna miuno feni ya kufa mtu.
Kabila halitoi mke mwema ni kuomba mungu tu.
Happy hunting

Sent
 
Nikukumbushe tu huko unakosema kwa waisrael sijui wachaga siku hizi napo kuna miuno feni ya kufa mtu.
Kabila halitoi mke mwema ni kuomba mungu tu.
Happy hunting

Sent
Katika mia kuna Mmoja ndo miuno tofauti na watanga na wazaramo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta anasema yule hafai kuwa mke ukisikia sababu ni nini hajui kukatika kitandani, really dunia inakwenda kwa Kasi Sana kwenye suala la kuoa wanaume hawangalii tabia wanangalia mkatiko asee.

Binafsi Mimi mwanamke akionesha maskills mengi kama Jr Neymar huyo namuona mjinga Sana kwangu na sio kigezo Cha kumuoa.

Nataka mwanamke atayenipa channel ya maisha how to earn money and to progress sio kutwa mahaba sio mgegedo kila siku huyo piga chini fasta , point napenda mwanamke asiyependa ngono ndo maana naelekea kuchukua wife waisrael wa Tz wachaga hawa Dada wapo busy na maisha tena wapo seriously haswaaa.

Sio mke wa kutazama tamthilia kila kutwa lazma awe mpambanaji kuna leo na kesho .Sio mwanaume anajitamba yule ni gogo kitandani hajui kitu mwanamke ni skills za maisha sio hizo mbwembwe nyingi plus ujinga full stop nimeandika kwa jazba Sana ila message sent


Ahsante, Mchagga *** no.....kaa nao mwenyewe uje uliwe na wajanja wanaopenda wanawake matapeli.
 
yote hii woga wa maisha.
Pambana mkuu mwanamke hawezi kukutoa kimaisha, Usichopenda wenzio wanapenda
Btw ukishaoa Mchaga ukichoka kugeuza gogo ndanda cosovo wapo kwa ajili yako...kula hizo hela mnazochuma na mchaga.

Kila ka Kheir Mkuu
hahaha i like you
 
Back
Top Bottom