MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
Itakuwa Mtu kakuandikia bila shaka(hackers wameingia kwenye account yako)!!!!
labda umeandika wew sio bure
Itakuwa Mtu kakuandikia bila shaka(hackers wameingia kwenye account yako)!!!!
mimi ni kopi yake hujajua tu
Khaaa mbona unajihami sana...unaonekana hauko comfortable kabisa na unachokifanya
Hahahaha, ila Hapo rekebisha sio jollies dudu bali ukimmiss, maana dudu ziko nyingi ila yeye mmoja tu ah sio
kwanini unahisi hivyo?
Hiyo kujihami ni kuepusha madongo ya walokole feki wa jf.
but kiukweli kilichonitokea sikutegemea kabisa! inakuaje mtu ana mtu wake afu anataka kunitoroshea ndege wangu?
Nawe pia una makosa best,baada ya kugundua bint anaishi na mtu kama mke na mume wewe ungemtosa mazima bwana Kwani kubembeleza kitu gani?
Kama kila atayekubembeleza utamrudia utakuwa na wangapi?
Kuwa na msimamo.
ana msimamo na waukweli ila huyo anadai anapiga papuchi buuure kabisa akaoge kwa mumewe looo
Nawe pia una makosa best,baada ya kugundua bint anaishi na mtu kama mke na mume wewe ungemtosa mazima bwana Kwani kubembeleza kitu gani?
Kama kila atayekubembeleza utamrudia utakuwa na wangapi?
Kuwa na msimamo.
WALOKOLE FAKE WA JF MNIACHE NIPUMUE.
Nafurahi kama umenisoma vyema best.Nakusoma vyema best, sema tu kaujana na wakati kachwa ka chini kanaongea haka ka juu kwisha habari yake. lol!
Afu nimekumis kweli. umzima lakini?