Hili limenishangaza kwa kweli

Hili limenishangaza kwa kweli

ahahaha kaja na cd asee kajipanga angekuja na jenereta kabisa in case umeme ukikatika
hakumkuta mamaafacebook. nakumbuka kabla sijamwambia hivyo alishaandaa lundo la maCD eti anataka kuzichek! khaa! nikaona huyu ataniharibia afu akaenjoy na me wake. mi nikapasuka, akajifanya kununa but akatoka kabla chibebi hakija timba.
 
Mashaxizo wewe huachi visa vyako tu,embu punguza foleni bana utanatia siku moja......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom