Hili limejengwaje

Hili limejengwaje

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,578
Najua wengi mtasema hiyo ni photoshop, lakini siyo photoshop ni ya ukweli,
sasa swali linakuja, imejengwaje???

Floating Tap Optical Illusion.jpg
 
Unapoliona liko hewani ni kuwa hilo bomba limepakwa rangi inafanana na ile rangi ya anga.

Masudi kipanya anaelewa
 
Kuna pipe katikati hapo maji yanapotiririka imeenda mpaka kule juu imeungana na hiyo koki.. Hiyo pipe pia ndiyo inayopitisha maji ambayo yako kwenye high pressure na nadhani itakuwa na outlets zaidi ya nne au tano au zaidi ili kufanya maji yatirirke pande zote ili kutengeneza illusion kama hiyo koki kubwa ndiyo inayotiririsha maji na pia ili kuconseal hiyo pipe yenyewe isionekane kwa urahisi na naamini itakuwa iko painted in white colour..
 
Limejengwa kwa genge picha / picha duka aka photo shop!
Sio lazima photo shop inawezekana kabisa kujenga hiyo kitu na ni rahisi tu
Unapoliona liko hewani ni kuwa hilo bomba limepakwa rangi inafanana na ile rangi ya anga.

Masudi kipanya anaelewa
Kama imepakwa rangi ya anga how do you explain kwa chini hapo kabisa mbona bomba halionekani?? Je liko transparent?? Maana halijaziba hata view ya miti kule nyuma au huo ukuta kwa nyuma yake
 
Kuna pipe katikati hapo maji yanapotiririka imeenda mpaka kule juu imeungana na hiyo koki.. Hiyo pipe pia ndiyo inayopitisha maji ambayo yako kwenye high pressure na nadhani itakuna na outlets zaidi ya nne au tano au zaidi ili kufanya maji yatirirke pande zote ili kutengeneza illusion kama hiyo koki kubwa ndiyo inayotiririsha maji na pia ili kuconseal hiyo pipe yenyewe isionekane ka urahisi na naamini itakuwa iko painted in white colour..
Mkuu uko sahihi.
 
Sio lazima photo shop inawezekana kabisa kujenga hiyo kitu na ni rahisi tu

Kama imepakwa rangi ya anga how do you explain kwa chini hapo kabisa mbona bomba halionekani?? Je liko transparent?? Maana halijaziba hata view ya miti kule nyuma au huo ukuta kwa nyuma yake
Angalia kwamakini kidogo
 
Uo si uchawi, ni creativity ya cicil engineer, bomba imetoka chini ikapitishwa kati ya mdomo wa mfereji
 
jibu langu limetengenezwa kichawi maana hakuna namna ya ufikiriaji..🙁🙁🙁
 
Kuna pipe katikati hapo maji yanapotiririka imeenda mpaka kule juu imeungana na hiyo koki.. Hiyo pipe pia ndiyo inayopitisha maji ambayo yako kwenye high pressure na nadhani itakuwa na outlets zaidi ya nne au tano au zaidi ili kufanya maji yatirirke pande zote ili kutengeneza illusion kama hiyo koki kubwa ndiyo inayotiririsha maji na pia ili kuconseal hiyo pipe yenyewe isionekane kwa urahisi na naamini itakuwa iko painted in white colour..
mkuu umemaliza,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom