Mwambie kitanda hakizai haram shekhe, hata mimi wa kwangu katoka mweupe kama mzungu lakini nampenda kwa moyo wote lol
eti mtoto wetu anafanana na mtoto wa shemeji yake kwasababu wakati mjamzito alikuwa anapenda kukaa naye.
Hana lolote anakudanganya tu huyo. Ukweli ni kuwa huyo mkeo alikuwa anamchukia rafiki yako ndo maana akazaa wa kufanana nae. Kibaiolojia inakubalika kabisa!
Hana lolote anakudanganya tu huyo. Ukweli ni kuwa huyo mkeo alikuwa anamchukia rafiki yako ndo maana akazaa wa kufanana nae. Kibaiolojia inakubalika kabisa!
DNA ndo solution bila hivyo utoishi kwa amani.