Hili la wamachinga limekuwa kero mjini

mputa

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
1,192
1,491
Ndugu zangu, katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku nimezunguka baadhi ya mikoa, ila ki ukweli hali inatisha na kusikitisha, juzi nilikua Arusha, mji umeharibika, maeneo karibu na soko kuu machinga wanapanga bidhaa mpaka barabarani, jana asubuhi nawahi stendi ili nisafiri kurudi kwenye makazi yangu, nimekuta mawe yamepangwa kando ya barabara kuonesha kuwa ni alama ya eneo la biashara la mhusika, narudia inasikitisha
 
unamaanisha maamuzi ya Rais wako ni kero mjini??
 
mpaka makanisani watafika tu kwa mwendo huu
IMG-20161221-WA0006.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom