Hili la Rais Magufuli kiprotokali limekaaje?

'ITIFAKI NI 'Mfumo wa sheria au kanuni ambazo zinaeleza njia sahihi na hatua za kufuatwa katika mazingira husika'' tafsiri isiyo rasmi.

Sasa naomba kuuliza kabla sijachangia, ikulu kuna kitabu ama kipeperushi, kijarida, kitini au desa la protocal?!

Protocol
has several different meanings, all connected to the idea of guidelines or procedures to follow. It is used mostly in formal or academic language.

The most common meaning of protocol is “a system of rules that explain the correct conduct and procedures to be followed in formal situations,”
 
Mkuu kama ni kusalimia mabalozi basi huo mkono ni wa kuomba! Mkuu hivi umesahau vile Matonya alikuwa anafanya vipi?
OBM.jpg

OBM2.jpg
 
Maagufuli anahitaji semina elekezi Afanyiwe na Robert Mugabe ili pia aelekezwe hata namna ya suti zinavyotakiwa kuwa.
Tatizo kwa Magufuli hayo mambo sijui ya misuti ni madogo sana kwakwe! ooh kutangulia kunyoiosha mknono jamani Hivi Speed yake mnaijua abaki anachelewachelewa tu wakati ana mambo mengi sana ya kufanya?!?!?
 
Nimejaribi ku observe video za Mh. Rais Magufuli anapokutana na watu mbali mbali kama vile mabalozi huwa anatangulia yeye kunyoosha mkono na kusalimia.

Kwa ujuvi wangu mdogo naelewa kwamba kiprotokali mkuu wa nchi yeyote ile duniani anapotembelewa na viongozi wenzie hao wageni wake ndo huwa wanatoa mkono wa salamu kwanza na sio mwenyeji.

Wale wenye ujuvi kwenye masuala haya ya kidiplomasia na protokali mje mtusaidie hapa au huenda Mh. JPM ameathirika na adabu
a mafunzo ya heshima aliyoyapata kwenye makuzi yake ya utotoni usukumani?

Anyway nampa big up kwenye kutumbua majipu na kupanga serikali yake asisahau wakurugenzi wa halmashauri hawa ndo wanakula hela za miradi ya maendeleo ya wananchi bila shaka utumbuaji utawahusu tu.

Bila kujali procol kuanza kumsalimia au kumpa mgeni mkono ni isharA ya ukarimu mengine nawaachia

Kiprotokali ya kusalimia rais yupo sawa kwa sababu yeye ndio mwenyeji kwa hiyo ni lazima aonyeshe utaratibu gani wa kusalimiana ufuatwe.
Hii inatokana na ukweli kwamba kila mgeni anaemtembelea rais anamila yake ya kusalimia, wengine salamu lazima kukumbatiana, wengine wanainamisha vichwa au kiwiliwili, wengine wanabusu mikono au mashavu na kuendelea. Hivyo wageni wanapoingia wanabidi wafuate mwenyeji wao anawasalimiaje.

Ukitazama vizuri hata mkono unavyonyoshwa unatoa ishara fulani, mfano mkono ukinyoonshwa full inamaana keep distance na mazungumzo ni ki-official sana tu. Mkono ukikunjwa kwenye kiwiko ina maana wanaosalimiana wanakuwa karibu hivyo ujue mwenyeji yupo tayari kwa jokes kidogo. Viko vikolombwezo vingi tu hata ukaanji pia unatuma message. Wale wataalamu wa negotiations na body language wanalijua hili.

jambilo pia yupo sawa kwenye hiyo la ukarimu lakini hilo ndio sehemu ya protokali ujue
 
Na zaidi kiprotoko na kwa usalama ni Rais ndio Mwenye mamlaka ya kuamua kutoa mkono au hapana.kama unakumbuka Fiedel Castro aliwahi kutumiwa wajumbe wakiwa wamepakawa slow poison mikononi ili wakisalimiana nae kwa kupeana mkono wamuambukize sumu.na aliweza epuka majaribio zaidi ya sita .kwakuto salimia kwa kupeana mkono..kwasababu hizo basi ni Raisi ndio ana uamuzi ama akusalimie kwa kukupa mkono au laa..
Ahsante kwa jibu zuri. Mkuu wa nchi ndo huanzisha jambo litokee,wengine wanafuata. Hata wakati wanatoka eneo moja kwenda lingine,mkuu wa tukio huongoza.
 
Ni desturi ya mtanzania kuonyesha ukarimu anapopata ugeni.
 
Yule wa awamu ya nne alikuwa akikaa anaegemea kochi mwili mzima halafu anakunja nne!, Magufuli anakaa kikazi zaidi, halafu anayo tabia ya kuweka notebook kwenye mfuko wa suti, maongezi yakianza anaichomoa kwa ajili ya kuandika points muhimu. Ni rais aliye kikazi zaidi, hana umwinyi wa kukaa kama vile katoka kula sahani mbili za ugali mkubwa na mboga nyingi, kwa Magufuli ni HAPA KAZI TU hata protokali na yenyewe ipo kikazi.
 
Nimejaribi ku observe video za Mh. Rais Magufuli anapokutana na watu mbali mbali kama vile mabalozi huwa anatangulia yeye kunyoosha mkono na kusalimia.

Kwa ujuvi wangu mdogo naelewa kwamba kiprotokali mkuu wa nchi yeyote ile duniani anapotembelewa na viongozi wenzie hao wageni wake ndo huwa wanatoa mkono wa salamu kwanza na sio mwenyeji.

Wale wenye ujuvi kwenye masuala haya ya kidiplomasia na protokali mje mtusaidie hapa au huenda Mh. JPM ameathirika na adabu
a mafunzo ya heshima aliyoyapata kwenye makuzi yake ya utotoni usukumani?

Anyway nampa big up kwenye kutumbua majipu na kupanga serikali yake asisahau wakurugenzi wa halmashauri hawa ndo wanakula hela za miradi ya maendeleo ya wananchi bila shaka utumbuaji utawahusu tu.
Post zingine utadhani ni MTU aliyemaliza kula chakula cha mchana sasa kausingizi kanamnyemelea.
 
Kiprotokali ya kusalimia rais yupo sawa kwa sababu yeye ndio mwenyeji kwa hiyo ni lazima aonyeshe utaratibu gani wa kusalimiana ufuatwe.
Hii inatokana na ukweli kwamba kila mgeni anaemtembelea rais anamila yake ya kusalimia, wengine salamu lazima kukumbatiana, wengine wanainamisha vichwa au kiwiliwili, wengine wanabusu mikono au mashavu na kuendelea. Hivyo wageni wanapoingia wanabidi wafuate mwenyeji wao anawasalimiaje.

Ukitazama vizuri hata mkono unavyonyoshwa unatoa ishara fulani, mfano mkono ukinyoonshwa full inamaana keep distance na mazungumzo ni ki-official sana tu. Mkono ukikunjwa kwenye kiwiko ina maana wanaosalimiana wanakuwa karibu hivyo ujue mwenyeji yupo tayari kwa jokes kidogo. Viko vikolombwezo vingi tu hata ukaanji pia unatuma message. Wale wataalamu wa negotiations na body language wanalijua hili.

jambilo pia yupo sawa kwenye hiyo la ukarimu lakini hilo ndio sehemu ya protokali ujue
Nimekupata Godfrey Tajiri
 
Salamu ni salamu tu we nae mkuu! Dah..hlo nalo?mtu mwenye hekima na busara hasubili kusalimiwa yeye tu peke yake,hyo ni heshima,kua Rais hakumfanyi mtu aondoe kile alichoumbiwa na MUNGU ndani yake,hekima,busara na utu wema.wakati rais wa nchi kubwa duniani aliwahi kugawa chakula kwenye hafla na hua smtyz anafanya mazoezi na watu kuweka mwili sawa hyo ni mambo ya kibinadamu na siyo vitu vya kushangaza na kujadili,sasa hata salamu?duh wabongo bana
Upo sawa kabisa. Hata jeshini ndo hivyo hivyo
 
Siyo kila la
Nimejaribi ku observe video za Mh. Rais Magufuli anapokutana na watu mbali mbali kama vile mabalozi huwa anatangulia yeye kunyoosha mkono na kusalimia.

Kwa ujuvi wangu mdogo naelewa kwamba kiprotokali mkuu wa nchi yeyote ile duniani anapotembelewa na viongozi wenzie hao wageni wake ndo huwa wanatoa mkono wa salamu kwanza na sio mwenyeji.

Wale wenye ujuvi kwenye masuala haya ya kidiplomasia na protokali mje mtusaidie hapa au huenda Mh. JPM ameathirika na adabu
a mafunzo ya heshima aliyoyapata kwenye makuzi yake ya utotoni usukumani?

Anyway nampa big up kwenye kutumbua majipu na kupanga serikali yake asisahau wakurugenzi wa halmashauri hawa ndo wanakula hela za miradi ya maendeleo ya wananchi bila shaka utumbuaji utawahusu tu.
zima tuige kutoka nje, yawezekana hiyo mbinu yake mpya ya kutoa salaam, pili sioni logic ya kulijadili hili maana yapo mengi sana ya msingi
 
Ndiyo tabu ya kizazi cha kunukuu( copy and paste). Kwa kuwa wazungu wanakula mkate kwa nini wasomi wale mihogo na viazi? Kiwango cha mwisho cha uwezo wa kufikiri. Kanuni hizo alizitunga nani? Kwa lengo lipi? Zimetusaidia nini? Taratibu zetu kama Waafrika zinasemaje anapokuja mgeni kwako? Toa hoja za kujenga acha mijadala ya kuzungusha mikono,kula magengeni kwa maigizo.
 
Haya msomi wa Diplomasia koko angalia mfalme Mswati akiwa India mcheki alivyovaa hivyo vi notisi vyako koko vya darasani vinasemaje kuhusu hili?

images
vinasema muswati sio kiongozi bali ni mfalme
 
Hii nchi imefika hapa ilipo kwasababu ya hizo protokali unzozizungumza!
 
Back
Top Bottom