ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
Nimejaribi ku observe video za Mh. Rais Magufuli anapokutana na watu mbali mbali kama vile mabalozi huwa anatangulia yeye kunyoosha mkono na kusalimia.
Kwa ujuvi wangu mdogo naelewa kwamba kiprotokali mkuu wa nchi yeyote ile duniani anapotembelewa na viongozi wenzie hao wageni wake ndo huwa wanatoa mkono wa salamu kwanza na sio mwenyeji.
Wale wenye ujuvi kwenye masuala haya ya kidiplomasia na protokali mje mtusaidie hapa au huenda Mh. JPM ameathirika na adabu
a mafunzo ya heshima aliyoyapata kwenye makuzi yake ya utotoni usukumani?
Anyway nampa big up kwenye kutumbua majipu na kupanga serikali yake asisahau wakurugenzi wa halmashauri hawa ndo wanakula hela za miradi ya maendeleo ya wananchi bila shaka utumbuaji utawahusu tu.