umeuliza swali zuri sana na unaonyesha umesomea diplomasia. sasa analia majibu ya watu wasio na uelewa watakavyokuja. wataliweka kisiasa, matusi na mengin. protokali zinatakiwa kufuatwa wakati wote na zimewekwa kwa malengo maalum. hii ndio sababu huwa tunasema ni vyema viongozi wa siasi wakapitia vyuo vya diplomasiaNimejaribi ku observe video za Mh. Rais Magufuli anapokutana na watu mbali mbali kama vile mabalozi huwa anatangulia yeye kunyoosha mkono na kusalimia.
Kwa ujuvi wangu mdogo naelewa kwamba kiprotokali mkuu wa nchi yeyote ile duniani anapotembelewa na viongozi wenzie hao wageni wake ndo huwa wanatoa mkono wa salamu kwanza na sio mwenyeji.
Wale wenye ujuvi kwenye masuala haya ya kidiplomasia na protokali mje mtusaidie hapa au huenda Mh. JPM ameathirika na adabu
a mafunzo ya heshima aliyoyapata kwenye makuzi yake ya utotoni usukumani?
Anyway nampa big up kwenye kutumbua majipu na kupanga serikali yake asisahau wakurugenzi wa halmashauri hawa ndo wanakula hela za miradi ya maendeleo ya wananchi bila shaka utumbuaji utawahusu tu.
Na sio kujiamini yeye tuu kupeana mkono ni kumuamini pia unaempa mkono.Hiyo ni power play. Magufuli anajiamini kwa hiyo haoni kwamba anakuwa intimidated.
Kwa anayekumbuka waziri mkuu wa Israel Rabin na Arafat walifanya press conference marekani. Wakati wanarudi ndani kukawa na kamchezo cha 'after you'. Mwisho wa siku Arafat alitangulia kuingia ikaonekana kama Rabin ana upper hand.
Nimejaribi ku observe video za Mh. Rais Magufuli anapokutana na watu mbali mbali kama vile mabalozi huwa anatangulia yeye kunyoosha mkono na kusalimia.
.
Nimejaribi ku observe video za Mh. Rais Magufuli anapokutana na watu mbali mbali kama vile mabalozi huwa anatangulia yeye kunyoosha mkono na kusalimia.
Kwa ujuvi wangu mdogo naelewa kwamba kiprotokali mkuu wa nchi yeyote ile duniani anapotembelewa na viongozi wenzie hao wageni wake ndo huwa wanatoa mkono wa salamu kwanza na sio mwenyeji.
Wale wenye ujuvi kwenye masuala haya ya kidiplomasia na protokali mje mtusaidie hapa au huenda Mh. JPM ameathirika na adabu
a mafunzo ya heshima aliyoyapata kwenye makuzi yake ya utotoni usukumani?
Anyway nampa big up kwenye kutumbua majipu na kupanga serikali yake asisahau wakurugenzi wa halmashauri hawa ndo wanakula hela za miradi ya maendeleo ya wananchi bila shaka utumbuaji utawahusu tu.
Ni swali zuri na muhimu.
Kwenye diplomasia kuna mambo mengi, usalimiaji, uvaaji, ulaji, utembeaji, uongeaji n.k.
Nadhani wahusika watashughulikia
umeuliza swali zuri sana na unaonyesha umesomea diplomasia. sasa analia majibu ya watu wasio na uelewa watakavyokuja. wataliweka kisiasa, matusi na mengin. protokali zinatakiwa kufuatwa wakati wote na zimewekwa kwa malengo maalum. hii ndio sababu huwa tunasema ni vyema viongozi wa siasi wakapitia vyuo vya diplomasia
nampongeza nape na wengine wengi waliosomea kozi za diplomasia. zinasaidia sana kuwatengeneza wanasiasa. unajua kuwa na ujuzi tu haitoshi, lazima ujifunze kutumia huo ujuazi au kipaji. mtu anaweza kuwa mwanasiasa mzuri lakini akipata maarifa ya diplomasia na akasoma kozi ya protokali inamfanya awe bora.
sijui njia sahihi ya kusalimiana kwa marais maana sijafikia kozi ya protokali ingawa najua kwenye kozi ya diplomasia, protokali ni sehemu yake
Maagufuli anahitaji semina elekezi Afanyiwe na Robert Mugabe ili pia aelekezwe hata namna ya suti zinavyotakiwa kuwa.
Semina elekezi ya suti apewe na Ndugu Stephen Wasilla😀😀😀
Zina nn mkuu...???unakumbuka jinsi wamarekani walivoreact kwa kitendo cha raisi wao kuonyesha ishara ya kumsujudu mfalme wa saudia...huyo ni rais wa nchi mkuu...sio CEO wa kampuni anapokea wawekezaji...ifike wakati rais awe rais kweli na sio rahisi hata kama ni rais wa taifa maskini...sasa kama kwa hao mabalozi tu anafanya hvo je akija rais wa Marekani hapa itakuweje...
In shortest and clearest its obvious kwamba akija mtu kama Obama hivi lazima mkuu wa walomweka pale atainama kama vile kumsujudu vile. Huu ni umasikini mkubwa wa roho na mmbaya sana kulinganisha na wakuu wa nchu nyingine, anapaswa kusafiri japo kidogo japo si mapenzi yake ili akawe upto dated kidogo.
Unafikiri atasalimia kwa magoti labda!..............hapnaZina nn mkuu...???unakumbuka jinsi wamarekani walivoreact kwa kitendo cha raisi wao kuonyesha ishara ya kumsujudu mfalme wa saudia...huyo ni rais wa nchi mkuu...sio CEO wa kampuni anapokea wawekezaji...ifike wakati rais awe rais kweli na sio rahisi hata kama ni rais wa taifa maskini...sasa kama kwa hao mabalozi tu anafanya hvo je akija rais wa Marekani hapa itakuweje...
Mkuu tatizo letu watz ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi tu...eti kwani inampunguzia nn...ndo maana hata maccm yamekuwa yanatutawala kirahisi rahisi tu...wametubemenda miaka nenda miaka rudi bado tunazidi kuyang'ang'ania tu...shame on us...
naona majaliwa ameanza kuwatumbua.Nimejaribi ku observe video za Mh. Rais Magufuli anapokutana na watu mbali mbali kama vile mabalozi huwa anatangulia yeye kunyoosha mkono na kusalimia.
Kwa ujuvi wangu mdogo naelewa kwamba kiprotokali mkuu wa nchi yeyote ile duniani anapotembelewa na viongozi wenzie hao wageni wake ndo huwa wanatoa mkono wa salamu kwanza na sio mwenyeji.
Wale wenye ujuvi kwenye masuala haya ya kidiplomasia na protokali mje mtusaidie hapa au huenda Mh. JPM ameathirika na adabu
a mafunzo ya heshima aliyoyapata kwenye makuzi yake ya utotoni usukumani?
Anyway nampa big up kwenye kutumbua majipu na kupanga serikali yake asisahau wakurugenzi wa halmashauri hawa ndo wanakula hela za miradi ya maendeleo ya wananchi bila shaka utumbuaji utawahusu tu.
Unafikiri atasalimia kwa magoti labda!..............hapna
Bila kujali procol kuanza kumsalimia au kumpa mgeni mkono ni isharA ya ukarimu mengine nawaachiaNi vema angesalimia kwa kupiga magoti ili msaada izidi kumiminika mkuu wangu...si unajua tena bila msaada mambo hayaendi kabisa yaani..