masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Mkuu asante kwa maoni mazuri.Kuyalazimisha makampuni ya simu kuwa listed kwenye Dar es Salaam stock excharge kuna faida kubwa sana
Zifuatazo ni faida hizo
Moja, ni ukweli usiopingika kuwa kumekuwepo na tetesi za muda mrefu sana kuwa kampuni hizi zimekuwa zikificha hesabu zake
Kwa lengo la kukwepa kulipa kodi stahiki
Hivyo wakiwa listed DSE
Itawalazimu makampuni haya kuweka wazi mahesabu yao yote, ili shareholders waweze kujua maendeleo ya kampuni hizo
Kwani nao watakuwa ni sehemu ya umiliki
Hivyo itasaidia nchi kupata mapato stahiki katika kodi
Mbili, itanufaisha umma wa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni haya
Hasa ukizingatia kuwa yamekuwa yakipata faida kubwa sana
Kwa hiyo sehemu ya faida hiyo itabaki humu humu ndani
Hizo ni sababu mojawapo inayoelekea serikali kuwalazimisha wawe listed DSE
Hata makampuni ya madini nayo yanapaswa yawe listed DSE
Kupynguza mwaya wa kukwepa kulipa kodi stahiki
Mkuu angalia vizuri, waongea kama mtu asiye katika biashara.Kuyalazimisha makampuni ya simu kuwa listed kwenye Dar es Salaam stock excharge kuna faida kubwa sana
Zifuatazo ni faida hizo
Moja, ni ukweli usiopingika kuwa kumekuwepo na tetesi za muda mrefu sana kuwa kampuni hizi zimekuwa zikificha hesabu zake
Kwa lengo la kukwepa kulipa kodi stahiki
Hivyo wakiwa listed DSE
Itawalazimu makampuni haya kuweka wazi mahesabu yao yote, ili shareholders waweze kujua maendeleo ya kampuni hizo
Kwani nao watakuwa ni sehemu ya umiliki
Hivyo itasaidia nchi kupata mapato stahiki katika kodi
Mbili, itanufaisha umma wa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni haya
Hasa ukizingatia kuwa yamekuwa yakipata faida kubwa sana
Kwa hiyo sehemu ya faida hiyo itabaki humu humu ndani
Hizo ni sababu mojawapo inayoelekea serikali kuwalazimisha wawe listed DSE
Hata makampuni ya madini nayo yanapaswa yawe listed DSE
Kupynguza mwaya wa kukwepa kulipa kodi stahiki
BS.. Hivi unajua kwanini biashara zinaamua kushiriki au kutoshiriki ktk Haya masoko Ya mitaji? ?Kuyalazimisha makampuni ya simu kuwa listed kwenye Dar es Salaam stock excharge kuna faida kubwa sana
Zifuatazo ni faida hizo
Moja, ni ukweli usiopingika kuwa kumekuwepo na tetesi za muda mrefu sana kuwa kampuni hizi zimekuwa zikificha hesabu zake
Kwa lengo la kukwepa kulipa kodi stahiki
Hivyo wakiwa listed DSE
Itawalazimu makampuni haya kuweka wazi mahesabu yao yote, ili shareholders waweze kujua maendeleo ya kampuni hizo
Kwani nao watakuwa ni sehemu ya umiliki
Hivyo itasaidia nchi kupata mapato stahiki katika kodi
Mbili, itanufaisha umma wa Watanzania kuwa sehemu ya umiliki wa makampuni haya
Hasa ukizingatia kuwa yamekuwa yakipata faida kubwa sana
Kwa hiyo sehemu ya faida hiyo itabaki humu humu ndani
Hizo ni sababu mojawapo inayoelekea serikali kuwalazimisha wawe listed DSE
Hata makampuni ya madini nayo yanapaswa yawe listed DSE
Kupynguza mwaya wa kukwepa kulipa kodi stahiki
BS.. Hivi unajua kwanini biashara zinaamua kushiriki au kutoshiriki ktk Haya masoko Ya mitaji? ?
Hakuna shelia inayombanaMbona SS Bakhresa halazimishwi?
Hili Siyo jibu sahihi.. Kampuni inayoamua kuuza hisa inafanya hivyo ili kujiongezea mtaji na ufanisi, na Siyo lazima Hao wanaonunua hisa wawe wateja wa hiyo biashara. Kwanini serekali inamlazimisha mfanya biashara aliyejitosheleza kimtaji ausishe watu wa nje ktk biashara Yake? Serekali haujui maana dhabiti Ya uchumi Wa kibepariHii ni nafasi ya kuwainclude wateja wao kama wamiliki.si vizuri kukamua faida halafu hutaki wamiliki sehemu ya shughuli yako
Hili Siyo jibu sahihi.. Kampuni inayoamua kuuza hisa inafanya hivyo ili kujiongezea mtaji na ufanisi, na Siyo lazima Hao wanaonunua hisa wawe wateja wa hiyo biashara. Kwanini serekali inamlazimisha mfanya biashara aliyejitosheleza kimtaji ausishe watu wa nje ktk biashara Yake? Serekali haujui maana dhabiti Ya uchumi Wa kibepari
Very good!Hili Siyo jibu sahihi.. Kampuni inayoamua kuuza hisa inafanya hivyo ili kujiongezea mtaji na ufanisi, na Siyo lazima Hao wanaonunua hisa wawe wateja wa hiyo biashara. Kwanini serekali inamlazimisha mfanya biashara aliyejitosheleza kimtaji ausishe watu wa nje ktk biashara Yake? Serekali haujui maana dhabiti Ya uchumi Wa kibepari
Hilo swala la hesabu ni sab mojawapo sab ziko nyingi zinasaidiana hivyo kila sab inachangia asilimia kadhaa na kuleta attributed concrete reasonMkuu angalia vizuri, waongea kama mtu asiye katika biashara.
Tatueni tatizo la kupata hesabu za makampuni kutoka TRA.
Au wameshindwa kazi?
Na makampuni ya simu yakiwa listed DSE, una uhakika gani kuwa mahesabu yatakuwa sahihi?
Hivi karibuni tumesikia na kuona matangazo kadhaa ya kuwaagiza makamuni ya simu kujiunga na Dar Stick Exchange(DSE).
Tulimsikia waxiri wa Mawasiliano na Ujenzi Prof Makame Mbarawa mwishoni mwa mwaka jana akisema ni lazima makampuni ya simu yajiunge na DSE kufikia tarh 31 Dec 2016.
Yaliyoitikia ni mawili au matatu tu.
Najua kuna sheria ya namna ya kujiunga na DSE pamoja na sheria za EPPOCA~Electronic annd Postal Communications Act, na CMSA~Capital Markets and Securities Authority regulations.
Lakini logic ya kampuni binafsi kujiunga na any stock exchange, ni ili kupata capital na kuuza shares zake.
Kama kampuni binafsi haitaki kuuza shares au kuomba mtaji toka kwenye public shareholders, kuna uulazima gani kujiunga na DSE?
Naomba kueleweshwa wanabodi.
Au labda wakati wanaruhusiwa kuwekeza kulikuwa na sharti kuwa watatoka private kwenda public company baada ya kipindi fulani.Hili Siyo jibu sahihi.. Kampuni inayoamua kuuza hisa inafanya hivyo ili kujiongezea mtaji na ufanisi, na Siyo lazima Hao wanaonunua hisa wawe wateja wa hiyo biashara. Kwanini serekali inamlazimisha mfanya biashara aliyejitosheleza kimtaji ausishe watu wa nje ktk biashara Yake? Serekali haujui maana dhabiti Ya uchumi Wa kibepari
Amen! Wape somo nduguVery good!
Tatizo kubwa hata watumishi wengi sekta ya biashara serikalini, hawajui maana soko la mitaji.
Wanafikiri hapo ni mtu kujipatia shares tu za kununua kampuni na umiliki.
Hilo ni SOKO, PERIOD!
Na sokoni mtu unauza na kununua, kupata umiliki wa kampuni sio lengo lake la kwanza.
Mfanyabiashara anapoenda soko la hisa, lengo lake la kwanza ni kupata mtaji.
Hili la kupata gawio la fsida ni secondary.
Hamna kitu Kama hicho..Kampuni iliyo na mtaji wa kutosha haitaji kwenda public... Ukiwa public company Inabidi vitabu vyako viwe wazi na maripoti Ya Mara kwa Mara. Biashara iliyo kamili na mtaji wa kutosha haina haja ya kwenda dse.Au labda wakati wanaruhusiwa kuwekeza kulikuwa na sharti kuwa watatoka private kwenda public company baada ya kipindi fulani.