masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,196
- 13,837
Hivi karibuni tumesikia na kuona matangazo kadhaa ya kuwaagiza makamuni ya simu kujiunga na Dar Stock Exchange(DSE).
Tulimsikia waziri wa Mawasiliano na Ujenzi Prof Makame Mbarawa mwishoni mwa mwaka jana akisema ni lazima makampuni ya simu yajiunge na DSE kufikia tarh 31 Dec 2016.
Yaliyoitikia ni mawili au matatu tu.
Najua kuna sheria ya namna ya kujiunga na DSE pamoja na sheria za EPPOCA~Electronic annd Postal Communications Act, na CMSA~Capital Markets and Securities Authority regulations.
Lakini logic ya kampuni binafsi(Private Company) kujiunga na any stock exchange, ni ili kupata capital na kuuza shares zake.
Kama kampuni binafsi haitaki kuuza shares au kuomba mtaji toka kwenye public shareholders, kuna uulazima gani kujiunga na DSE?
Naomba kueleweshwa wanabodi.