Hili la Bandari, Wananchi tuiamini Serikali

Mimi Rashda Zunde, naamini kwamba hatua za serikali za kutafuta kampuni yenye uwezo na uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa bandari duniani kwa teknolojia za kisasa kuiwezesha Bandari ya Dar es Salaam kufanya kazi kwa ufanisi, kuongeza mapato ya nchi na kuchangiza sekta nyingine za kiuchumi, kumefanyika kwa nia ya njema na itazaa matunda mema.

Katika hili, wananchi ni vyema tukasikiliza viongozi wanasemaje kuhusu ubora wa kampuni ya DP World, ambayo imeonesha kuwa na utaalamu, uwezo na uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa bandari 190 katika nchi 68 barani Afrika, Asia, Ulaya, Amerika ya Kaskazini na Kusini.

Tukumbuke pia kuwa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii na Dubai ni kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari nchini, hivyo ni muhimu wananchi wakaona umuhimu wa mageuzi yanayotakiwa ili kuleta tija na ufanisi.

Kutokana na mipango maridhawa ya serikali ya kupaisha ufanisi katika Bandari ya Dar es Salaam, natoa wito wananchi wenzangu kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan na kuacha kuruhusu mgawanyiko wa aina yoyote kuhusu uwekezaji wa bandari huku tukiepuka kujadili itikadi za kisiasa, udini, ukabila, ukanda au vyovyote vile kuhusiana na mradi huo mkubwa wa kitaifa.
Tuiamini serikali ya majizi?
 
Umewahi kushusha mizigo yako hapo bandarini? Ukaona shughuli yake?
Acha kuwa mpuuzi tunacholalamika sio kinachofanyika bandarini bali udalali wa Mali za Umma. Kwani kinachofanyika handari kinaongozwa na CDM au CCM?.
 
Tuanze na Magufuli aliuza nyumba za serekali na nyingine kujigawia bure,akatununulisha Meli mbovu, akaigawa wapi sijui, ipo haja tukachimbua matakataka yote toka awali ili tuyarekebishe.
 
Mimi Rashda Zunde, naamini kwamba hatua za serikali za kutafuta kampuni yenye uwezo na uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa bandari duniani kwa teknolojia za kisasa kuiwezesha Bandari ya Dar es Salaam kufanya kazi kwa ufanisi, kuongeza mapato ya nchi na kuchangiza sekta nyingine za kiuchumi, kumefanyika kwa nia ya njema na itazaa matunda mema.

Katika hili, wananchi ni vyema tukasikiliza viongozi wanasemaje kuhusu ubora wa kampuni ya DP World, ambayo imeonesha kuwa na utaalamu, uwezo na uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa bandari 190 katika nchi 68 barani Afrika, Asia, Ulaya, Amerika ya Kaskazini na Kusini.

Tukumbuke pia kuwa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii na Dubai ni kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari nchini, hivyo ni muhimu wananchi wakaona umuhimu wa mageuzi yanayotakiwa ili kuleta tija na ufanisi.

Kutokana na mipango maridhawa ya serikali ya kupaisha ufanisi katika Bandari ya Dar es Salaam, natoa wito wananchi wenzangu kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan na kuacha kuruhusu mgawanyiko wa aina yoyote kuhusu uwekezaji wa bandari huku tukiepuka kujadili itikadi za kisiasa, udini, ukabila, ukanda au vyovyote vile kuhusiana na mradi huo mkubwa wa kitaifa.
Hatuna shida na DP WORLD bali tuna shida na vifungu vya mkataba ambavyo havizingatii masilahi ya nchi yetu
 
Mimi najuaga mianamike inayovaaga maushungi ushungi hainaga akili kabisa kabisa kabisa sjui Ili nalo limenitokea wapi Mimi.
 
Enzi za mkono wa chuma Hawa wote wanaopinga mkataba wangekuwa kisutu kujibu kesi za uhujumu uchumi, jengo la TLS lingekuwa limeshalipuliwa na mabomu, viroba vya maiti vingetapakaa baharini na ......
Kwahiyo ndio unataka tukubali kisa kulikuwa na kiongozi dhalimu hapo nyuma? Kwani dhalimu alikuwa hapingwi, au unadhani kwakuwa alikuwa ni mlevi wa madaraka basi watu walimuogopa kihivyo?
 
Mimi Rashda Zunde, naamini kwamba hatua za serikali za kutafuta kampuni yenye uwezo na uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa bandari duniani kwa teknolojia za kisasa kuiwezesha Bandari ya Dar es Salaam kufanya kazi kwa ufanisi, kuongeza mapato ya nchi na kuchangiza sekta nyingine za kiuchumi, kumefanyika kwa nia ya njema na itazaa matunda mema.

Katika hili, wananchi ni vyema tukasikiliza viongozi wanasemaje kuhusu ubora wa kampuni ya DP World, ambayo imeonesha kuwa na utaalamu, uwezo na uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa bandari 190 katika nchi 68 barani Afrika, Asia, Ulaya, Amerika ya Kaskazini na Kusini.

Tukumbuke pia kuwa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii na Dubai ni kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari nchini, hivyo ni muhimu wananchi wakaona umuhimu wa mageuzi yanayotakiwa ili kuleta tija na ufanisi.

Kutokana na mipango maridhawa ya serikali ya kupaisha ufanisi katika Bandari ya Dar es Salaam, natoa wito wananchi wenzangu kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan na kuacha kuruhusu mgawanyiko wa aina yoyote kuhusu uwekezaji wa bandari huku tukiepuka kujadili itikadi za kisiasa, udini, ukabila, ukanda au vyovyote vile kuhusiana na mradi huo mkubwa wa kitaifa.
Tatizo hujaelewa kabisa hoja zilizopo. Ni sawa ni abiria kwenye basi wawe wanalalamimia uendeshaji mbaya wa dereva, halafu wewe ukawa unawashauri abiria wakubaliane na chochote anachofanya dereva, kwa sababu basi lina viti vizuri.

Jibidishe uelewa kwanza hoja za wananchi zinazowafanya kuupinga mkataba huu wa kishenzi kabla hujawashauri kuwa mbumbumbu na hivyo wakubaliane na viongozi hata kwenye mambo ya hovyo.
 
Mtoa mada.
Sidhani kama kuna mtu ana challenge utendaji wa kazi wa DP WORLD, kinachotia shaka ni hayo masharti ya mkataba, wabadilishe tu hivyo vipengere then we will be ready to go. Wapigaji ni wengi pale bandarini kiasi ni kidogo kinachoingia serikalini so it is good to have a serious investor sooner than later.
 
Back
Top Bottom