Hili la Bandari, Wananchi tuiamini Serikali

Hili la Bandari, Wananchi tuiamini Serikali

Mtoa mada.
Sidhani kama kuna mtu ana challenge utendaji wa kazi wa DP WORLD, kinachotia shaka ni hayo masharti ya mkataba, wabadilishe tu hivyo vipengere then we will be ready to go. Wapigaji ni wengi pale bandarini kiasi ni kidogo kinachoingia serikalini so it is good to have a serious investor sooner than later.
1688204350888.png
 
Hivi nyie majuha nani kawaambia kwamba hatutaki uwekezaji?
Tunachokataa ni Yale yaliyomo kwenye mkataba.
Vipengere vingi vya huo mkataba ni kama kuwauzia wale waarabu bandari zetu zote za Tanganyika.
 
Back
Top Bottom