Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,948
Kwa kuwa mkataba wenyewe ni wa hovyo, Serikali haiwezi kuwapata watetezi wenye uelewa, ndiyo maana watetezi wote wa Serikali kwenye huu mkataba wa hovyo, unaona wazi kabisa, ni wale wenye uelewa na upeo duni sana. Maadam wamelipwa, basi wanaandika chochote bila ya kutambua kuwa huku kuna watu wenye uelewa na taarifa hata zaidi ya mara 10 yao.Serikali haijibu hoja inaleta vohoja tu..... kutengeneza watetezi weengi wasio na uelewa wowote,mmoja wa watetezi akiwa kwenye shughuli zake za kawaida
View attachment 2673892
Watu wote wenye akili, uelewa na weledi, hata waliopo ndani ya Serikali, japo wanakosa ujasiri, lakini wote wanaupinga huu mkataba wa kishenzi. Na hakuna chochote watakachoamua kufanya huko ndani ya Serikali, ambacho hatutakijua, kwa sababu wazalendo wapo kila sehemu.