Hili Kundi la "Anonymous Hacktivist" Vipi??

Hili Kundi la "Anonymous Hacktivist" Vipi??

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,378
Reaction score
25,468
Sijui malengo ya hawa watu lakini hivi majuzi wamehack accounts na kuchukua mamilioni ya dola na wanagawa bure kwa masikini..

http://anonnews.org/?a=item&i=787&p=press

Hawa watu si mchezo kabisa, duh!
CNN Investigates ‘Anonymous' Hacktivist Group And How It's Helping Occupy Movement | Mediaite

Wanawatisha hadi facebook, kitu ambacho sishangazwi kwasababu i hate facebook very much na pia nadhani mafisadi wa dunia wameiununua, kweli hii dunia inahitaji mabadilko.

http://www.foxnews.com/scitech/2011/08/09/hacking-group-anonymous-plans-to-kill-facebook-on-nov-5/

http://www.google.com/url?sa=t&rct=...h6TbBw&usg=AFQjCNGD4rY8IObPP2ACOCf44IENiAUdlg
 
aisee hamuwezi wasiliana nao wakadeal na account za vigogo wetu hapa.............kisha wachague NGO ije itujengee shule na zahanati? hebu watafuteni hawa watu aise!
 
aisee hamuwezi wasiliana nao wakadeal na account za vigogo wetu hapa.............kisha wachague NGO ije itujengee shule na zahanati? hebu watafuteni hawa watu aise!


Natamani sana wahack simu, emails na computers za watu wafuatao:

1. Mawaziri wetu wote
2. Makatibu wakuu wa wizara
3. Wakurugenzi wa idara wizarani
4. Mafisadi papa

Alaf watoe kama wikileak tuone madudu gani hawa watu wetu wanayoyafanya behind the scene. Tunaweza hata tukapata report nzima ya Richmond.

Hivi sie hatuna vijana smart wa kufanya hii shughuli?
 
annonymous wanatetea uhuru wa internet. nchi nyingi zinaminya uhuru wa maoni na kukataza internet, mf china kuna censorship sana, hapa JF watu wanatumia majina yasiyo halisi lakini hilyo haimaanishi kuwa huwezi kujulikana au kufahamika (anonymous)...!
 
Back
Top Bottom