Hili Jina......!!

Hili Jina......!!

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
Simpeleki mwanangu asome katika shule hii.......imagine mgeni rasmi katembelea hapo na anatoa hotuba yake...."wanafunzi wa....nge oyeeee"

shule.jpg
 
hilo jina tu! unaweza kuta kwa asili ya huko maana yake genius! so dont you worry! peleka mwanao!
 
Neno haliwi na maana hadi ulipe maana. Usiogope
 
hapo tanroad kuna mtu/watu walitengeneza deal la kupiga x mabango yaliyo ndani ya hifadhi ya barabara nchi nzima.
 
senge ni mtemi wa kabila la wanyaturu katikati ya nchi singida
 
******* oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ahhh wanafunzi ******* wanakazana sana kwenye masomo yao ndiyo maana waliongoza kwenye mtihani wa moko😛eep:
 
Kama nimesoma minaki waminaki, kama nimesoma pugu wapungu, kama nimesoma senge .......... Hapa noma. Majina mengine sio.
 
hapo wataitikia oyeee wenye tabia ya cameron
 
Wanafunzi ******* wanafaulu sana mitihani yao 😛eep: :wink2: :bump2:
 
Back
Top Bottom