Hili Jina......!!

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Simpeleki mwanangu asome katika shule hii.......imagine mgeni rasmi katembelea hapo na anatoa hotuba yake...."wanafunzi wa....nge oyeeee"

shule.jpg
 
hapo tanroad kuna mtu/watu walitengeneza deal la kupiga x mabango yaliyo ndani ya hifadhi ya barabara nchi nzima.
 
******* oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ahhh wanafunzi ******* wanakazana sana kwenye masomo yao ndiyo maana waliongoza kwenye mtihani wa moko:peep:
 
Kama nimesoma minaki waminaki, kama nimesoma pugu wapungu, kama nimesoma senge .......... Hapa noma. Majina mengine sio.
 
Back
Top Bottom