Hili jengo si walisema litabolewa bado lipo jamani?

Hili jengo si walisema litabolewa bado lipo jamani?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
554122_402404456499353_636598150_n.jpg


Hili jengo si walisema linatakiwa kubomolewa...mbona bado lipo? Hili shirika bora Serikali wampe Mtu binafsi kwani Serikali imeshindwa kulihudumia ipasavyo ahhhhhhhhhhhhhhhhh
 
walibomoe kwani walimsaidia kulijenga,yeye alishawaachia ccm yenu bado mje mvunje jengo lake.
 
ilo jengo ssilipendi ajabu, natamani hata leo libomolewe ili wajenge fly overs hapo.
 
Hujui kuwa sheria zetu ni selective!?
 
waziri mweye dhamana alisema libomolewe....presdaa akasema halibomolewi!!!! sijui keshalinunua???!
 
hawawezi kubomoa mkuu, plan iliyopo ni kubadili hiyo color nyeupe kuwa yellow...
 
Mbona hayo majengo ya kubomolewa yako mengi tu hapa mjini? wenyewe wanasubiri upepo ubadili mwelekeo waendelee na maisha yao. Mfano ukienda kule Dar katikati ya Dampo Tabata mwenye jengo hilo la ghorofa mbili aliambiwa alibomoe kwa sababu amejenga jengo zito juu ya takataka au mbolea na lingeweza kuangukia watumiaji lakini anasubiri upepo upite alimalizie. Tusubiri labda mbolea itabadilika kuwa mwamba kama sio kuua halafu iundwe tume.
 
Back
Top Bottom