Kufungua nchi inamaanisha nini? Kuuza kila kitu kwa Rostam, kinana, utajiri wa Tanzania kubinafshishwa kwa familia chache.
Kukopa hovyohovyo, mikataba ya ovyo, kuchoma masoko, usalama binafsi kupungua, ajali kuongezeka, mfukumuko wa bei kila sehemu, mfumuko wa bei kwenye ujenzi, kilimo, imports, exports, ukiritimba wa kila sehemu. Unanijua mimi ni nani imerudi?