Tulitakiwa Tanzania iwe tajiri kupitia janga la Corona viwanda vya mask na sanitiezer viko wapi?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
We can make distaster into an opportunity

Uko wapi ujasusi wa kiuchumi wa nchi yetu?
Hivi kweli Serikali ya awamu ya tano imeshindwa kuandaa mazingira ya kuifanya Tanzania iwe tajiri kupitia janga la Corona?

Toka mwezi wa pili ambapo janga la Corona lilikua janga la kimataifa,ingetakiwa serikali iwe imejipanga kuzindua na kujenga viwanda vya mask, na sanitiezer na vifaa vingine vingine tuuze duniani kote

Angalieni Ulaya na marekani kulivyo na uhaba mfano wa mask tu moyo unaumia sana kwamba tunakwama wapi?

Hebu fikirieni sasa hivi kuwepo kwa uhaba wa mask tungekua na viwanda kadhaa tuwe tunasupply huko ulaya na marekani na hapa Africa tungekua tumeingiza shillingi ngapi?Tungekua tumeingiza mabilioni kwa matrilioni ya pesa

Sijui tunakwama wapi maskini ya mungu,Ona hata wataalam wetu wa afya wameshindwa hata kuzifanyia utafiti hata dawa za asili kama mwarobaini,limao,mdalasini,tangawizi,manjano,kitunguu,ambazo zinatibu magonjwa mengi ya vifua,mapafu na mfumo wa hewa?

Tumekwama wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uko America na Ulaya wameshindwa kutengeneza Tanzania ingewezaje? Yahani Tanzania itengeneze mask&sanitizer vikauzwe Ulaya? ahaaaaa acha mizaa ila mtegemee sanitizer zenye virus kutoka kwa wachina walivyo wachawi.Ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ungesema hizo ndege zimeegeshwa hapo zingeenda kuleta hizo mask
Hawa wenyewe wamejiongeza kwa mara ya kwanza ndege ya abiria imebeba mask
Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kama tungeambiwa tuExport majungu kutoka katika viwanda Vya CCM leo hii Dreamliner ingejaa huku ikiongozwa na katibu muenezi wa majungu Polepole
 
Back
Top Bottom