Hili jambo litizamwe!!!

Hili jambo litizamwe!!!

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1438923503.484911.jpg

Lazima tuwe na sheria, kanuni , kali ambazo zitaongoza , na kusimamia upigaji wa picha kati ya rais na watu wa kawaida, kama hii inamdhalilisha rais ingawa ni ujiko kwa walioomba kupiga nae picha
 
WanaJF,
Hivi mtu unapoandika jambo usilojua ukaliandika tu kwa ushabiki huoni kuwa linakushushia hadhi? Kama kweli una nia ya kujua kwanini usiulize kilichojiri?
Nasikitishwa na hali hii ya kufanya mambo kwa ushabiki. Kikao kinachohusika ni kikao cha Kamati Tendaji mbili za wilaya ya Nyamagana na Ilemela. Mimi ndiye niliyeitisha kikao hicho. . Nimeshuhudia yaliyojiri, hakuna swala la makambi ya Mbowe na Slaa. Wala hakuna swala la wenje kutishia mtu ni taarifa iliyopikwa. Mimi nilimtoa kwenye kikao kijanaaliyesimamishwa baada ya mchakato hadi kufikia CC. Akagoma kutoka. Wala hakutishwa alitolewa na vijana.

Selfie
 
Kama Rais mwenyewe hajiheshimu, hao wasanii walevi watamuheshimu?
 
View attachment 274085

Lazima tuwe na sheria, kanuni , kali ambazo zitaongoza , na kusimamia upigaji wa picha kati ya rais na watu wa kawaida, kama hii inamdhalilisha rais ingawa ni ujiko kwa walioomba kupiga nae picha



Ni kweli ila kwa Kikwete yeye mwenyewe anaona ujiko na ndiyo maana viongozi wenzake wanamdharau. Msanii ni msanii tu hata awe kiongozi wa nchi.
 
Ni kweli ila kwa Kikwete yeye mwenyewe anaona ujiko na ndiyo maana viongozi wenzake wanamdharau. Msanii ni msanii tu hata awe kiongozi wa nchi.

Acheni ushamba, Huyu sio Rais wa kundi fulani tu ni Rais wa wote. Kwenye Kampeni hamuwaiti wahuni mkishapata Madaraka mnawapa majina mabaya. Hizo selfie zingekuwa kwa yule mtu wenu mngesifia
 
Wasanii nao ni Watanzania ngoja nao wajipatie ujiko kupiga picha na rais wao, ukishaweka sheria kali basi kuna makundi hayataweza hata kumsogelea rais. Kama rais kajichagulia maisha hayo ya kujichanganya na kila mtanzania bila kuvunja sheria zetu basi kila la kheri mbona ukisema sana wasanii hao nao wanakushangaa kwan hayo ndo maisha na kazi waliyoichagua
 
Acheni ushamba, Huyu sio Rais wa kundi fulani tu ni Rais wa wote. Kwenye Kampeni hamuwaiti wahuni mkishapata Madaraka mnawapa majina mabaya. Hizo selfie zingekuwa kwa yule mtu wenu mngesifia
Wewe acha ujinga urais sio kama ww unavyofikir, hivyo ndio ngaji ya juu kabisa , lazima ieshimiwe hawa wasanii ni wadogo kabisa, america wapo wasanii wakubwa na matajir kabisa uliwai kuona ujinga huo, hata kama upo utapingwa vikal sana sio kufulaishwa kama ww mbulula
 
Jay z rickross crissbrown , dr dre ni miongoni wanamuziki tajir sana uliona picha na obama au bush, urais ngazi inayoeshimika sana jamani
 
Iiiishh we nae ka-selfie tu unakaandikia thread
 
Iiiishh we nae ka-selfie tu unakaandikia thread

Ahaaaa!!!! Unadhani napitwa na kitu , tread zenyew zilivyo za shida , lakini point ni pale vijitu vidogo vinavyochukua ujiko kwa rais wetu, hii aikubaliki jamani
 
hahaha inaonekana ni hobby yake Kikwete si unaona vile alivyoachia tabasamu
 
Back
Top Bottom