Hili jambo linanituma kabisa kabisa kulikimbia jiji

Hili jambo linanituma kabisa kabisa kulikimbia jiji

Labda mtoto ni Albino wewe unadhani ni mzungu...

haswaa inawezekana ni Albino!!! Btw asiogope watoto wote wanapokuwa wamezaliwa huwa kama wadhungu,avute subira angalau mwezi mmoja.
 
We tulia baba yake akija atakutoa kwa Kumtunza mtoto wake. Yaan hapo umesha uaga umaskin.
 
Hahaha wanaume mmeumbwa, matesoooo kuhangaika!
Umenipa hasira za kufa mtu, halafu ndo ukute kila saaa nilitee ndimu, sili maharage nataka nyama, siwezi kwenda clinic na daladala nikodishie tax...
Hauli nyama ya mtu ukachinje uweke kwenye freezer ule taratibu?
Halafu supu ya kwanza nzito anakunywa huyo bibie arudishe nguvu nawe ndo ule......nyambafu kabisa!
 
Mtoa mada ni mdaku sana. Tena mnaaa. Kuna clip ya wanaijeria couple imepata mtoto mzungu anahojiwa. Stori ya kutunga hii, si ungetokea magazetini? Acha uduwanzi!
 
Mwanamke ninaye ishi naye kajifungua mtoto wa kizungu. Nimezaa naye mtoto moja, huyu wa pili. Sitaki nimuulize kitu chochote hapa nipo kwenye mpango wa kumtoroka. Nikaishi mbali kokote kule.

Tulia kwanza. Ongea naye akueleze. Vinginevyo una ssbabu za kuamini kuwa huyo mtoto si wako.
 
Mtoa mada ni mdaku sana. Tena mnaaa. Kuna clip ya wanaijeria couple imepata mtoto mzungu anahojiwa. Stori ya kutunga hii, si ungetokea magazetini? Acha uduwanzi!

Kng'asti ninayo hiyo clip ila nimeshindwa ku upload. Nilitaka aione kwanza kabla hajachukua maamuzi magumu. Mwenye ufahamu jinsi ya ku upload video. Msaada pls.
 
Ndugu yangu kibongo bongo huo ni mtaji, anzisha blogu, jiite "baba ya muzungu" ... 🙂
 
Hahaha wanaume mmeumbwa, matesoooo kuhangaika!
Ila mna moyo mgumu na usiokua na aibu kama Serikali mbili ...yaani unamletea kitu cha kizungu haswa bila uoga na unarudi nyumbani?
Sijui mnaonaga watu mnaowafanyia kama kitu gani kisicho na macho wala moyo wa kuumia!

Kweli ukichinjwa kuna kesi hapo....?
 
Acha ukilaza wewe haiwezekani
Na kama ni kweli wewe ni mwanaume mwenye akili ndogo sana uliona wapi mwanaume Anakimbia home kwake allaaaa fukuza mwanamke baada ya kupima DNA na kujua mtoto si wako.mwanaume hakimbii tatizo solve it
 
Mtoa mada ni mdaku sana. Tena mnaaa. Kuna clip ya wanaijeria couple imepata mtoto mzungu anahojiwa. Stori ya kutunga hii, si ungetokea magazetini? Acha uduwanzi!

Exactly, icho na mi ndo nlikua nadhani.
 
nami ninayo kwenye simu lakini nimeshindwa kuiweka. achana nae ananunua hadithi huyo, hiyo mbona ingekuwa issue wanasayansi wangechangamkia kupima vinasaba
Kng'asti ninayo hiyo clip ila nimeshindwa ku upload. Nilitaka aione kwanza kabla hajachukua maamuzi magumu. Mwenye ufahamu jinsi ya ku upload video. Msaada pls.
 
Duh me natafuta mtoto mzungu we unakimbia haya manyani achana nayo iyo ni baraka dogo mtafutie dual citizenship bhaaaassssss
 
Usikimbie labda ni Albino fanya uchunguzi vizuri. au laa ni utoto tuu atabadilika
 
Usikimbie majukumu wewe kitanda hakizai haramu mtoto wako huyo siajabu karithi kwa nyanya yako embu chunguza ukoo wenu.
 
Back
Top Bottom