ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,207
Siku utakayojua binadamu wanakosea utakuwa mwepesi wa kusamehe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
MamaUnachekesha, sasa amuombe radhi kwa lipi?
Tofautisha kati ya kuheshimu na kupenda.Mama ni Mungu wa Pili katika dunia hii. Hakuna kitu kibaya kama kumchukia Mama. Unachopaswa kufahamu kuwa hakuna mwanadanu aliyekamilika. Hivyo uambie moyo wako kuwa huyu ni mama yangu na vyovyote itakavyokuwa atabaki kuwa mama yangu. The rest mwachie Mungu. Hata kama utaamua kumchukia haitasaidia. Nakusihi mlipe kwa wema hadi ajue kama wewe unampenda hata kama yeye hakupendi. Ukifanya hivyo Mungu ipo siku atakufanyia wepesi katika mambo yako na familia yako kwa ujumla.
Wahenga walisema: mpe mchawi akulelee mwanao...
Joseverest samahani kwa kuchukua kiti chako.
Kitonganjoo nikuoe ukae mbali na huyu mama ni mwanga tu achana nae yaani hapo ndio ulikuwa uhalisia wake sasa we legea legea tu atakupoteza
Sio ww tu hayo yapo sana ,hata mm iko shida kama hiyo imefikia hata watoto wangu kwenda kwa jibu yao hapana kwa yale waliyoyapata,unaweza kuwa na mapenzi au upendo mkubwa kwa mama ako lkn kumbe yeye yuko mbali na ww kabisa ukiitafuta sababu wala huipati na hiyo sababu ya mpenzi wako inaweza kuwa wala c sababu ila hayo huwepo tu ikifikia mama kutoa machozi na kuomba hayo bora yangekutokea ww,kuwa makini sana huwa kuna roho ya ajabu ya chuki vitabu viko wazi kuna maagano hapo au kulikuwa na aina furani ya urafiki kati ya mama na mwana ambayo mwezio aliyaona na kisha kuyatunza hata ww hukuyajua kwa hiyo alipendwa kwa usiri huo lkn yawezekana mama yako aliiona akili yako haiendani na yale mwenzio aliyapokea.mpende mama yako lkn kuwa makini sana na mama yako kikubwa ni kumuombea sana ili huyo pepo mchafu atoke yangu ni hayo,hapo kwa wengi sana Dada.Habari zenu jamani
Katika familia yangu tumezaliwa wawili Mimi nikiwa ndiye mtoto wa kwanza alafu akafwata midogo wangu ambaye tayari ni marehemu mwezi sasa umepita.....nimebaki Mimi na mama yangu baba alishafariki miaka imepita.
Kabla ya mdogo wangu kufariki alikuwa ni kipenzi cha mama sana hilo halikuwa linanisumbua niliona kawaida sana pia hiyo ilitokana na mahusiano ya mpenzi niliekuwa nae mama hakumpenda sana jambo hilo lilifanya Mimi na mama yangu tusiwe na maelewano.
Kitu kilichokuja kuniumiza na nimuone mama tofauti ni siku mdogo wangu alipofariki mama alikuwa akilia wa nguvu na huku akilitaja jina la mdogo wangu na Mimi.......nanukuu( BORA USINGEONDOKA WW KIPENZI CHANGU ANGEONDOKA DADA YAKO (yani mimi)INGEKUWA AFADHARI.
Maneno hayo halikuwa akiyarudia kuanzia mwanzo wa msiba mpaka anazikwa jambo hili liliwashangaza wengi na liliniumiza sana mpaka Leo nikikumbuka Yale roho inaniuma sana nashindwa hata kumuangalia mama yangu naishia kulia.
Pengine nimemkosea mama yangu sana lkn sikutegemea kama anaweza kuombea Mimi kufa imeniumiza sana.
Amekuja leo na baadh ya ndugu akiomba msamaha sijasema chochote nimeishia kulia.nataman niende mbali kwasababu nimejua Mimi si chochote kwake.
Mwenye ushauri au mawazo yoyote kisaikolojia siko sawa.
Nimekuwa pia nikijiuliza swali hili pia pengine si mama yangu lakini tokea utoto wangu yupo nami nakufanana tumefanana saaana
Usidanganye watu tena unatenda zambi kubwa sana,nani alikudanganya ya kwamba mama ni MUNGU wa pili?au ktk dunia ipi hiyo,na wengi mmekuwa mnajidanganya hivyo,na tuumbe mtu kwa mfano wetu,akamuumba Adam lkn kwa upweke wa Adam akamletea msaidizi akamtia usingizi mzito Adam na kisha akamtoa ubavu mmoja akapatikana Hawa (EVA)yule mwanamke uliyeniletea ndiye aliye nipe tunda nikala (usaliti)utazaa kwa uchungu (mwanzo wa azabu)hapo kuna mwanamke anaitwa delira lkn pia kuna yerzeber sjui kama unawafaham na matendo yao,je huo umungu wa pili unatoka wp ?Lkn hakuna watu wenye mambo makubwa na ya ajabu kama hao ni ma zetu yatupasa kuwapenda sana lkn pia yatupasa kuwa makini sana na hawa viumbe nia ovu ikiwa kinywani kwa mama ni hatari kwa uzao wake lkn he fuatilia kwa makini sana mama hutengeneza fitina Kati yake na mme wake na watoto haswa wa ki ume hutekwa na fitina hiyo hata kumchukia baba yao na baba hatima yake huwa mbaya sana uzeeni hata husababisha mauti ya haraka, kidogo watoto wa kike huwa msaada kwa baba yao kikubwa toa ushauri tu lkn usimpeleke kwenye u mungu wa pili utalaaniwa, isimfananishe kabisa na MUNGU kwa kuwa hana sifa hizo hata selus moja na kama hujui chanzo cha zambi zote ni mwanamke,hata kifo aliyesababisha kianze kutokea ni mwanamke plz lekebisha maelezo yako usije unatenda zambi.Mama ni Mungu wa Pili katika dunia hii. Hakuna kitu kibaya kama kumchukia Mama. Unachopaswa kufahamu kuwa hakuna mwanadanu aliyekamilika. Hivyo uambie moyo wako kuwa huyu ni mama yangu na vyovyote itakavyokuwa atabaki kuwa mama yangu. The rest mwachie Mungu. Hata kama utaamua kumchukia haitasaidia. Nakusihi mlipe kwa wema hadi ajue kama wewe unampenda hata kama yeye hakupendi. Ukifanya hivyo Mungu ipo siku atakufanyia wepesi katika mambo yako na familia yako kwa ujumla.
Wahenga walisema: mpe mchawi akulelee mwanao...
Joseverest samahani kwa kuchukua kiti chako.
Sijui akili yako inafikilia nn,manung'uniko yepi hayo nyie ndo hukuta mme na mke wakipigana jibu yao wanajuana badala ya kusaidia.Acha manung'uniko. Zidisha upendo ulete furaha na baraka katika familia
Waheshimuni wazazi wenu "katika bwana"Tofautisha kati ya kuheshimu na kupenda.
Amri inasema "waheshimu baba na mama yako......." haijasema wapende!
Mama akijuchukia usijipendekeze, mpe nafasi aitumikie chuki yake kwa raha zake. Maana kuchukia ndio furaha yake.
Ukiendelea kuwepo karibu yake atakuambukiza chuki.
Pole sana kumbuka kua huyo ni Mama na kama amekuja kuomba msamaha niwajibu wako kumsamehe,sisemi rahisi ila Mama daraja lake ni kubwa sanaaa, kufiwa sio kitu kidogo na labda utakuja kumuelewa utakapo kua Mama.Habari zenu jamani
Katika familia yangu tumezaliwa wawili Mimi nikiwa ndiye mtoto wa kwanza alafu akafwata midogo wangu ambaye tayari ni marehemu mwezi sasa umepita.....nimebaki Mimi na mama yangu baba alishafariki miaka imepita.
Kabla ya mdogo wangu kufariki alikuwa ni kipenzi cha mama sana hilo halikuwa linanisumbua niliona kawaida sana pia hiyo ilitokana na mahusiano ya mpenzi niliekuwa nae mama hakumpenda sana jambo hilo lilifanya Mimi na mama yangu tusiwe na maelewano.
Kitu kilichokuja kuniumiza na nimuone mama tofauti ni siku mdogo wangu alipofariki mama alikuwa akilia wa nguvu na huku akilitaja jina la mdogo wangu na Mimi.......nanukuu( BORA USINGEONDOKA WW KIPENZI CHANGU ANGEONDOKA DADA YAKO (yani mimi)INGEKUWA AFADHARI.
Maneno hayo halikuwa akiyarudia kuanzia mwanzo wa msiba mpaka anazikwa jambo hili liliwashangaza wengi na liliniumiza sana mpaka Leo nikikumbuka Yale roho inaniuma sana nashindwa hata kumuangalia mama yangu naishia kulia.
Pengine nimemkosea mama yangu sana lkn sikutegemea kama anaweza kuombea Mimi kufa imeniumiza sana.
Amekuja leo na baadh ya ndugu akiomba msamaha sijasema chochote nimeishia kulia.nataman niende mbali kwasababu nimejua Mimi si chochote kwake.
Mwenye ushauri au mawazo yoyote kisaikolojia siko sawa.
Pole sanaHabari zenu jamani

Habari zenu jamani