Manun'guniko
Senior Member
- Jul 23, 2014
- 155
- 59
- Thread starter
- #101
Sijaelewa kwanini kafanya vileMkuu uliolewa na shetani? Mbona huyo mama yako anakua hivyo?
Sijaelewa kwanini kafanya vileMkuu uliolewa na shetani? Mbona huyo mama yako anakua hivyo?
ShukraniDaah pole sana mkuu mama kaonesha chuki zake kwako hadharan chamsingi ishi nae kwa tahadhari sana atakuaribia mipango yako mingi
GOD BLEES YOU
Nitazingatia![]()
![]()
![]()
![]()
Why not 15???
Asante kwa hizo baraka za siku, ninaamini dada huyu atazingatia ushauri.
Barikiwa sana
Nimekuwa pia nikijiuliza swali hili pia pengine si mama yangu lakini tokea utoto wangu yupo nami nakufanana tumefanana saaanaChunguza vizuri yawezekana sio mama yako maana Nina amino watoto wote ni sawa kwa mama kama wote amewabeba miez Tisa, nakushauri kaa mbali naye na ujaribu kusahau hayo maneno kiukwel yanaumiza kwa Mimi hata msiba nisingemalima ningesepa na kubadili namba ya simu siku hiyo hiyo wewe ni mvumilivu sana mpaka anakuja na wazee kuomba msamaha kah! Huyo mama anaroho mbaya sana kaa naye mbali
Ahsante sana ndugu yanguHuyo ndio mama yako! Mungu wako wa Dunia,ni kweli yanaumiza! Ni kweli yanakatisha tamaa na kusababisha chuki moyoni lakini ndie mama yako!
Cha kufanya unahitaji muda wa kua peke yako mbali na mama ili wote muuone umuhimu wa kuwa Karibu hapo baadae yaani wewe uuone umuhimu wa mama na mama auone umuhimu wako,nakushauri msamehe lakini yakupasa uende mbali nae kwa muda,kama upo nyumbani hama kwa muda....
Huko utakapoenda usiache kuwasiliana nae na kumtumia fedha za matumizi kwa sababu pamoja na maudhi yake yoote bado ni mama yako ila mnahitaji kupeana tu nafasi.
Pole sana ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Baraka gani za kunidhalilisha msibani kwa maneno makali kama yale! Ndio ni mzazi lakini alichokifanya si lahisi kusahau kwa harakaharakawatu wengine sijui mkoje! ulichoandika ni upumbavu mtupu! na unakeraa, kama ni kweli alikuomba msamaha halafu wewe ukajifanya eti umeumia sana kwa yaliopita, jua mama sio kama mwalimu" mtafute muombe msamaha mama yako! ningekuwa ndo mjomba wako ningekupiga marufuku kufika kwangu mpaka mamaako akuridhie. eti HILI JAMBO LIMENIUMIZA SANA! mangapi we uliomuumiza mamaako!? kama una akili weka mabaya ya mamaako aliokufanyia na mazuri aliokufanyia kwenye mizani sahihi, yapi yanazidi! kitendo cha mamaako kukuomba msamaha haitakiwi uendelee kumsikiliza bali ni kumzuia na badala yake wewe ndo umuombe msamaha yeye! baraka zinkufuata ulipo unazipiga teke!?
Pole sana sister msamehe ili upate miaka mingi na kheri dunian, wazaz ni wa thamani na inatupasa kuwasamehe hata ktk yale ambayo kibinaadam tunaona hayapaswi kusamehewa labda nkupe ushuhuda tu ktk maisha yangu nlitengwa na baba kwasababu nlkuwa mtoto wa nje ya ndoa bas mama akakomaa na mm akanisomesha nkafka mbali sana kielimu lkn moyon nlkuwa na kisasi na baba na nlimchukia kupita maelezo kwa yale aliyonitendea(sitayaandika hapa kuilinda heshima yake).Bas baada ya kufanikiwa sana kielimu ikafka hatua ya kutafuta kaz,hapa ndipo nlipata mitihan na mashaka kwani nlkuwa na sifa zote,cheti kizur,ujuz wa kutosha kwan nlifanya voluntary services kwa muda mrefu lkn cha kushangaza sikupata ajira mpaka nlipoamua kuonana na watu wenye macho ya kiroho(sio mshana jr lakinHabari zenu jamani
Katika familia yangu tumezaliwa wawili Mimi nikiwa ndiye mtoto wa kwanza alafu akafwata midogo wangu ambaye tayari ni marehemu mwezi sasa umepita.....nimebaki Mimi na mama yangu baba alishafariki miaka imepita.
Kabla ya mdogo wangu kufariki alikuwa ni kipenzi cha mama sana hilo halikuwa linanisumbua niliona kawaida sana pia hiyo ilitokana na mahusiano ya mpenzi niliekuwa nae mama hakumpenda sana jambo hilo lilifanya Mimi na mama yangu tusiwe na maelewano.
Kitu kilichokuja kuniumiza na nimuone mama tofauti ni siku mdogo wangu alipofariki mama alikuwa akilia wa nguvu na huku akilitaja jina la mdogo wangu na Mimi.......nanukuu( BORA USINGEONDOKA WW KIPENZI CHANGU ANGEONDOKA DADA YAKO (yani mimi)INGEKUWA AFADHARI.
Maneno hayo halikuwa akiyarudia kuanzia mwanzo wa msiba mpaka anazikwa jambo hili liliwashangaza wengi na liliniumiza sana mpaka Leo nikikumbuka Yale roho inaniuma sana nashindwa hata kumuangalia mama yangu naishia kulia.
Pengine nimemkosea mama yangu sana lkn sikutegemea kama anaweza kuombea Mimi kufa imeniumiza sana.
Amekuja leo na baadh ya ndugu akiomba msamaha sijasema chochote nimeishia kulia.nataman niende mbali kwasababu nimejua Mimi si chochote kwake.
Mwenye ushauri au mawazo yoyote kisaikolojia siko sawa.
joking) basi mtu huyu aliniomba nimpe historia ya maisha yangu kiufup na baada ya kumueleza had hisia zangu na mawazo yangu mabaya hjuu ya baba yangu ndipo akanipa utatuz wa tatzo langu kwa kuniambia nenda kwa baba yako kamuombe msamaha kwa kumuwekea visasi kisha na ww pia msamehe kwa yote aliyokutenda na milango ya baraka itafunguka kwako na utapata kaz, basi baada ya kufanya kama nlivyoelekezwa basi mambo yangu yakanyooka na nkapata yale nliyoyahtaj.Hapa ndipo nkafahamu kuwa wazaz wana nafas kubwa ktk maisha yetu kuanzia kiroho mpaka kimwili hvyo dada yangu achilia tu samehe na Mungu atakubarkUpo sahihiWapo baadhi ya wazazi wasiojitambua huelekeza mapenzi yao kwa mtoto mmoja kati ya wengi aliozaa bila kificho, na wakati mwingine huonyesha chuki kwa mtoto mmoja kati ya wengi aliozaa bila kificho.
Cha ajabu, mtoto anaependwa na mzazi kisha akajua yeye anapendwa sana huwa hawanaga mwisho wa kupendeza. Na pale inapotokea mtoto asiyependwa kuja kupata mafanikio, hujikuta hakumbuki nyumbani kwao kwa lolote. Jamii inayomzunguka humuona wa ajabu sana kwa kutokumbuka kwao. Jamii inachopaswa kuelewa ni kuwa mapenzi ya mzazi na mtoto hujengwa katika kile kipindi ambacho mtoto ni tegemezi, akivuka hapo bila kuwa na mapenzi nawe, imekula kwako, uwe mzazi au mlezi.
Kinachobaki ni huruma ya mtoto ya kuzaliwa.
Nitafanya hivyohuwezi kujua kwa nini Mungu kakuacha wewe uishi mbele ya macho yake asiyekupenda. Hakika nakuambia kuna jambo umeandaliwa mbele yake ili ajifunze. Nakuomba cha kwanza amini kuwa Mungu ni mkubwa kuliko mama, pili muheshimu mzazi wako kwani anajua wewe ulivyo kuanzia a to z, (vitabu vya dini vinasema) ndio aliyekuzaa na wengi wanakuambia ndo mungu wa pili kwa sababu anakujua kuliko hata mpenzi wako. Tatu unapotoa msamaha kamili toka moyoni, ndipo Mungu atatimiza anachotaka kukupa/kukufanyia
BELIEVE ME, DO THAT
Ndiyo alikuwa wa kiume
Alikuwa wa kiume
ShukraniSamehe wahenga wanasema wazazi hawakosei
Yamenitokea kama hayo najua unayopitia samehe ili Uishi kwa Amani
Wa kiumeHuyo mdogo wako alikuwa wa kiume au wa kike? Pole kwa maswahibu...
Ndo maana. Huna sababu ya kusikitika. Huyo mama yako 'hana makosa'... Ingekuwa wa kike ningesema kweli kuna shida mahali. So mpuuze tu endeleee na maisha. Wamama huwa wanajikuta wakiwapenda sana watoto wao wa kiume 'involuntarily'... So take it easy dear...Wa kiume
Amina nitafanya hivyo shukraniPole sana Dada yangu ila nachokuomba jaliribu kutafuta muda mzuri umkalishe mama umuulize niwapi ulimkosea iliumuombe msamaha na wewe pia urudishe moyo umpende mama kwasababu ndo ndugu yako pekee wakaribu ulienae ndo mzazi wako pekee aliebaki miezi tisa uko tumboni mwake ,kifuachake ndo ulipata chakula chako ujui mangapi alipitia kukikisha unakua salama muda wote ilijinyima aliumia kwa ajili yako simaanishi humpendi la hasha ila namaanisha umsamehe mama nakutakia malidhiano mema na mama.....amina
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana kwa ushauri mzuriHata hasingetamka kwa kinywa angetamka moyoni, believe me wazazi wengi hutamka hivyo moyoni.
Kikubwa ni wewe kujitazama na kujirekebisha kasoro zinazokuweka mbali na mama yako. Mama yako kutokupenda kulianza ulipokuwa mkubwa ulikuwa ukifanya machukizo machoni pake,hukumpa kipaumbele Kama mama, angekuwa hakupendi tangu mwanzo angeku- destroy tangu mimba yako ilipotungwa au tangu ulipoigusa dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina ndugu yanguHaya matukio yalitokea israel miaka mingi kidogo iliyopita kulikuwa na mfalme alikuwa anaitwa saul huyu mfalme alienda kinyume na MUNGU alivyomuagiza MUNGU akwamwambia nabii samweli akampake mtu mwingine mafuta iliawe mfalme MUNGU akwambia nabii samweli aende katika nyumba ya yese ili samweli akampake mafuta mtu mmja katika nyumba ya yese ambaye MUNGU amependezwa naye samweli akafika katika nyumba ya yese;yese alikuwa na watoto wengi basi samweli alipofika akamwona kaka yake daudi mzuri akahuyu ndiye atakuwa ambaye Bwana amependezwa naye lakini MUNGU akwamwambia sio huyo ilijambolikajirudia mara kadhaa kila mtoto wanaempitisha MUNGU anasema sio huyo basi mwisho samweli akamwuliza yese unaowatoto hawahawa au kunamwingine amesalia yese ndio akakumbuka kuwa yupo daudi wakati huo daudi alikuwa yupo kuchunga kondoo ndio akaitwa alipopitshwa mbele MUNGU akasema daudi ndiye aliye pendezwa naye lakini daudi alisahaulika mpaka nabii samweli alipomuuliza yese kunamtoto ambaye amesalia ndio daudi kukumbukwa.Daudi alimpendeza MUNGU kwa kuwa moyo wake daudi ulimuelekea MUNGU na si Watu.
Kuna mwingine alikuanaitwa isaya;kabla isaya hajazaliwa MUNGU alimwambia ibrahimu kuwa kwamba ibrahimu atapata mtoto yeye na sara (wakati huu sara na ibrahimu walikuwa wazee) basi sara akwambia ibrahimu alale na kijakazi wake kweli ibrahimu alipolala na kijakazi wa sara wakapata mtoto (wakati huu isaya alikuwa bado ajazaliwa) ibrahimu akamwambia MUNGU yule mtoto awembadala wa isaya maana sara hakuamini kama atazaa katika uzee wake lakini MUNGU akamwambia ibrahimu kuwa atambariki yule mtoto lakini sara ni atazaa mtoto ambaye ndiye atake kuwa mrithi wa iibrahimu.
Wengi wanawategea watu iliwapate upendo ndio chanzo cha mausiano mengi kuvunjika maana wanakuwa wanatakitu ambacho kama wangemtegemea MUNGU wangekipata kwa MUNGU hivyo kupunguza malalamiko kumtegemea MUNGU kuna punguza malamiko.Kuna siku ilitokea vita kati ya wafisti na waisraeli daudi alitumwa akawapelekee kaka zake chakula vitani alipofika akamkuta mfilisti mmoja anamtuka Bwana wa majeshi daudi akamwambia mfalme amruhusu akapigane na yule mfilisti mfalme akamwambia hawezi lakini daudi akasema nilipokuwa polini nachunga kondoo simba na dudu walitokea iliwawazuru kondoo lakini niliwauwa wa msaada wa Bwana wa majeshi.kumtegemea MUNGU sio kuishika torati maana huu ni wakati wa neema na torata katika kipindi cha neema imefananishwa na vazi kuukuu torati na kristo ni sawa na maji ya baridi naya moto.KUMTEGEMEA MUNGU NI KULIAMINI NENO LAKE.
Nitazingatia ushauri wako shukraniPole sana sister msamehe ili upate miaka mingi na kheri dunian, wazaz ni wa thamani na inatupasa kuwasamehe hata ktk yale ambayo kibinaadam tunaona hayapaswi kusamehewa labda nkupe ushuhuda tu ktk maisha yangu nlitengwa na baba kwasababu nlkuwa mtoto wa nje ya ndoa bas mama akakomaa na mm akanisomesha nkafka mbali sana kielimu lkn moyon nlkuwa na kisasi na baba na nlimchukia kupita maelezo kwa yale aliyonitendea(sitayaandika hapa kuilinda heshima yake).Bas baada ya kufanikiwa sana kielimu ikafka hatua ya kutafuta kaz,hapa ndipo nlipata mitihan na mashaka kwani nlkuwa na sifa zote,cheti kizur,ujuz wa kutosha kwan nlifanya voluntary services kwa muda mrefu lkn cha kushangaza sikupata ajira mpaka nlipoamua kuonana na watu wenye macho ya kiroho(sio mshana jr lakin![]()
joking) basi mtu huyu aliniomba nimpe historia ya maisha yangu kiufup na baada ya kumueleza had hisia zangu na mawazo yangu mabaya hjuu ya baba yangu ndipo akanipa utatuz wa tatzo langu kwa kuniambia nenda kwa baba yako kamuombe msamaha kwa kumuwekea visasi kisha na ww pia msamehe kwa yote aliyokutenda na milango ya baraka itafunguka kwako na utapata kaz, basi baada ya kufanya kama nlivyoelekezwa basi mambo yangu yakanyooka na nkapata yale nliyoyahtaj.Hapa ndipo nkafahamu kuwa wazaz wana nafas kubwa ktk maisha yetu kuanzia kiroho mpaka kimwili hvyo dada yangu achilia tu samehe na Mungu atakubark
Thank you nitafanya hivyoNdo maana. Huna sababu ya kusikitika. Huyo mama yako 'hana makosa'... Ingekuwa wa kike ningesema kweli kuna shida mahali. So mpuuze tu endeleee na maisha. Wamama huwa wanajikuta wakiwapenda sana watoto wao wa kiume 'involuntarily'... So take it easy dear...
Pole sana yaache yapite kama mengine acha kufikiria jaribu kufikiria mazuri alio wahi kukutendea hata kama lipo moja tu msamehe songa mbeleHabari zenu jamani
Katika familia yangu tumezaliwa wawili Mimi nikiwa ndiye mtoto wa kwanza alafu akafwata midogo wangu ambaye tayari ni marehemu mwezi sasa umepita.....nimebaki Mimi na mama yangu baba alishafariki miaka imepita.
Kabla ya mdogo wangu kufariki alikuwa ni kipenzi cha mama sana hilo halikuwa linanisumbua niliona kawaida sana pia hiyo ilitokana na mahusiano ya mpenzi niliekuwa nae mama hakumpenda sana jambo hilo lilifanya Mimi na mama yangu tusiwe na maelewano.
Kitu kilichokuja kuniumiza na nimuone mama tofauti ni siku mdogo wangu alipofariki mama alikuwa akilia wa nguvu na huku akilitaja jina la mdogo wangu na Mimi.......nanukuu( BORA USINGEONDOKA WW KIPENZI CHANGU ANGEONDOKA DADA YAKO (yani mimi)INGEKUWA AFADHARI.
Maneno hayo halikuwa akiyarudia kuanzia mwanzo wa msiba mpaka anazikwa jambo hili liliwashangaza wengi na liliniumiza sana mpaka Leo nikikumbuka Yale roho inaniuma sana nashindwa hata kumuangalia mama yangu naishia kulia.
Pengine nimemkosea mama yangu sana lkn sikutegemea kama anaweza kuombea Mimi kufa imeniumiza sana.
Amekuja leo na baadh ya ndugu akiomba msamaha sijasema chochote nimeishia kulia.nataman niende mbali kwasababu nimejua Mimi si chochote kwake.
Mwenye ushauri au mawazo yoyote kisaikolojia siko sawa.