baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,456
- 2,181
Hivi karibuni kuna baadhi ya dawa na baadhi ya vifaa vya kutolea huduma vimeondolewa kwenye bima ya NHIF
Sasa leo mtoto alipelekwa hospitali katika kuangaliwa ilibidi apewe dawa ya kushusha joto mwilini
Dawa hiyo inatolewa kwa njia ya mishipa ya damu ( I.V) cha kushangaza tumeambiwa I.V cannula haipo kwenye Bima hivyo inabidi tulipie sh.3000 ili daktari aitumie
Ninachojiuliza vitu kama I.V cannula ambavyo ni zana wezeshi kufanikisha zoezi kwanini tunatozwa sisi ? Ni sawa na mgonjwa akiwa inabidi awekewe drip arafu unamwambia ule mrija ( giving set ) haupo kwenye bima inabidi alipie
Haya ni maajabu kwa kweli naomba watu wa Bima wajitafakari sisi tunalipa pesa zetu kuchangia tupate huduma bila stress tukipata magonjwa ninapo kwenda hospitali najua tayari nina kibunda changu ambacho kipo tu sio tuanze kutonzana I.V cannula kwa ajili ya kuwezesha kumpatia dawa au drip mgonjwa
Naomba kuwasilisha