Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,518
- 8,877
- Thread starter
-
- #21
Wafanyakazi hawawezi kutumia vitu vilivyotengwa kwa ajili ya Wageni, tatizo liko kwa wafanyakazi kutoa Hela kwa ajili yao na Wageni.Hapo sio sawa, hizo za wageni office inawajibika. Je wafanyakazi hawatotumia vitu vya wageni?
Groceries za wageni office itoe pesa then kwa wafanyakazi kila mtu ajijue atapata vipi breakfast au hiyo inahusu mpaka maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser pia wafanyakazi wanatakiwa wanunue ?Wafanyakazi hawawezi kutumia vitu vilivyotengwa kwa ajili ya Wageni, tatizo liko kwa wafanyakazi kutoa Hela kwa ajili yao na Wageni.
Kwa wafanyakazi kujitegemea hiyo siyo shida.Groceries za wageni office itoe pesa then kwa wafanyakazi kila mtu ajijue atapata vipi breakfast au hiyo inahusu mpaka maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser pia wafanyakazi wanatakiwa wanunue ?
Shida hapa ni kwamba ana Roho ya kimaskini alikuwa anaumia sana kipindi wafanyakazi wanapata hivyo vitu bure, sasa hivi kwa vile yeye ana Hela ananunua hivyo vitu akidai anatumia hela yake na siyo ya Kampuni kwahiyo anataka na wafanyakazi wafanye hivyohivyo kitu ambacho ni ngumu kutokana na hali halisi ya maisha ni sawa na kutoa Maji kwenye Mfereji na kupeleka Baharini.Kwa wafanyakazi kujitegemea hiyo siyo shida.
Yuko sawa kabisa ndio sera yake na yeye na mtazoea tuKuna Kampuni Moja ya Mtu Binafsi, ni Kampuni kubwa sana kwa bahati mbaya Mwenye Kampuni alifariki, kipindi cha uhai wa mwenye Kampuni kama wafanyakazi na wageni walikuwa wakipatiwa bure Kahawa, Maji, Chai, Soda na vitu vidogovidogo vya Jikoni vilikuwepo ni Kampuni ilikuwa inatoa Hela hivyo vitu vinanunuliwa.
Kwasasa hivi Kampuni inasimamiwa na Mke wa Marehemu, anabana matumizi anataka Wafanyakazi watoe Hela zao wanunue vile vitu ambavyo vilikuwa vinanunuliwa na Kampuni, Je hili liko sawa?
Kuwa sahihi siyo shida, shida ni kwanini hatengi Fungu kwa ajili ya Wageni wa Kampuni yake? anataka Wafanyakazi watoe Hela zao.Yuko sawa kabisa ndio sera yake na yeye na mtazoea tu
Kwani mgeni lazima apewe maji au chai? Kama cha bure hakipo si hakipo tu?Kujitegemea siyo shida, shida ni kwamba Wafanyakazi wanunue vitu pia kwa ajili ya Wageni wanaokuja kwenye Kampuni?
Labda tueleze vitu gani ambavyo mtumishi anatakiwa amnunulie mgeni? Je, ili kwenye Sera za kampuni? Je, watumishi huwa mnapewa allowance kwa ajili ya kukirimu wageni? Kama haipo wewe unanunuaje vitu kwa ajili ya wageni?Kuwa sahihi siyo shida, shida ni kwanini hatengi Fungu kwa ajili ya Wageni wa Kampuni yake? anataka Wafanyakazi watoe Hela zao.
Anataka watumie mishahara yao kununua vitu.Labda tueleze vitu gani ambavyo mtumishi anatakiwa amnunulie mgeni? Je, ili kwenye Sera za kampuni? Je, watumishi huwa mnapewa allowance kwa ajili ya kukirimu wageni? Kama haipo wewe unanunuaje vitu kwa ajili ya wageni?
Wageni walizoeshwa hivyo.Kwani mgeni lazima apewe maji au chai? Kama cha bure hakipo si hakipo tu?
Shiida ni kwamba watu wanapenda sana offerna ikitokea watoa offer wamebadilisha upepo wengi huona wanadhulumiwa hamjaenda kunywa kahawa hapo na hayo mabadiliko ni sahihi myapokee tu.Kuna Kampuni Moja ya Mtu Binafsi, ni Kampuni kubwa sana kwa bahati mbaya Mwenye Kampuni alifariki, kipindi cha uhai wa mwenye Kampuni kama wafanyakazi na wageni walikuwa wakipatiwa bure Kahawa, Maji, Chai, Soda na vitu vidogovidogo vya Jikoni vilikuwepo ni Kampuni ilikuwa inatoa Hela hivyo vitu vinanunuliwa.
Kwasasa hivi Kampuni inasimamiwa na Mke wa Marehemu, anabana matumizi anataka Wafanyakazi watoe Hela zao wanunue vile vitu ambavyo vilikuwa vinanunuliwa na Kampuni, Je hili liko sawa?
Kuyapokea siyo shida, shida ni kwamba kwanini mfanyakazi atoe Hela yake ili vitu vinunuliwe hata mgeni akija apewe?Shiida ni kwamba watu wanapenda sana offerna ikitokea watoa offer wamebadilisha upepo wengi huona wanadhulumiwa hamjaenda kunywa kahawa hapo na hayo mabadiliko ni sahihi myapokee tu.
Muunge mkono director mpya anajaribu kubana matumizi ya hovyo. Inawezekana wewe ni mtu wa manunuzi sasa kucheka kimefyekwa. Mimi mgeni ambaye nimefika leo hapo nimeshangaa nini wakati nilikuwa sijui kama kuna wageni kukirimiwa?Wageni walizoeshwa hivyo.
Wageni wengi wanaokuja huwa wanakuja mara kwa mara kwa ajili ya Biashara.Muunge mkono director mpya anajaribu kubana matumizi ya hovyo. Inawezekana wewe ni mtu wa manunuzi sasa kucheka kimefyekwa. Mimi mgeni ambaye nimefika leo hapo nimeshangaa nini wakati nilikuwa sijui kama kuna wageni kukirimiwa?
Waje na hela yao ya kula au ya viburudisho. Niko upande wa director. Unakumbuka hata JPM alipoongia alibadilisha vitu vingi ikiwamo na hiyo ya vinywaji maofisini.Wageni wengi wanaokuja huwa wanakuja mara kwa mara kwa ajili ya Biashara.
Hiyo haina shida ila wageni watakapohitaji Kampuni iwajibike.Waje na hela yao ya kula au ya viburudisho. Niko upande wa director. Unakumbuka hata JPM alipoongia alibadilisha vitu vingi ikiwamo na hiyo ya vinywaji maofisini.
ViguKuna Kampuni Moja ya Mtu Binafsi, ni Kampuni kubwa sana kwa bahati mbaya Mwenye Kampuni alifariki, kipindi cha uhai wa mwenye Kampuni kama wafanyakazi na wageni walikuwa wakipatiwa bure Kahawa, Maji, Chai, Soda na vitu vidogovidogo vya Jikoni vilikuwepo ni Kampuni ilikuwa inatoa Hela hivyo vitu vinanunuliwa.
Kwasasa hivi Kampuni inasimamiwa na Mke wa Marehemu, anabana matumizi anataka Wafanyakazi watoe Hela zao wanunue vile vitu ambavyo vilikuwa vinanunuliwa na Kampuni, Je hili liko sawa?
Ukute mshangazi anabana matumizi kadhaa ili kampuni iendelee kuwa hai na nyie muendelee kupata mishahara.Wafanyakazi watoe Hela zao wanunue vile vitu ambavyo vilikuwa vinanunuliwa na Kampuni, Je hili liko sawa?