Hili jambo la leo limenitoa machozi kwa kweli

ulienada wapi kipenzi cha wana jf maana wiki nzima hauonekani uliishiwa bando nini
 
Askari wetu wanafanya kazi katika mazingira magumu. Hawa traffic. Jua yeye, mvua yeye. Hivi watanzania kwa nini hatuna huruma?

Nimekuta jamaa mmoja amekamatwa na traffic sababu tairi zake zimechakaa. Kiukweli huyu jamaa alipaswa ampe traffic hata 200,000 ya asante kwa kugundua hilo tatizo la kuhatarisha maisha yake dereva.

Kilichoniliza ni kuona jamaa anabembeleza asamehewe? My gosh, hii imenishtua sana. Yaani traffic kakukamata unahatarisha maisha yako na ya wengine, badala umshukuru unataka hata ya fine kumnyima? Tuwe na ubinadamu.

Traffic wa namna hii unapaswa kwanza ulipe faini kama ilivyo halafu na yeye unampa angalau 200,000. Kama asante kwa kuokoa maisha yako.

Huyo jamaa ilibidi niangalie nyuma kama anatumia gari au usafiri. Nikaona hicho chombo kimeandikwa Rav 4. Nilimuonea huruma sababu tairi zake ni kipara. Akasema tairi za gari zangu haziwezi funga mwenye huo usafiri wake. Niliumia sana.

Nikamuuliza kama tairi za Ford Ranger zinaweza fungwa pale au Range Rover ili niende naye home nikampe. Mimi tairi zangu huwa kila miezi 8 nabadilisha.

Jamaa zangu wengi wakija wanazichukua wanadai ni mpya kabisa. Wao wanaenda tumia miaka 2 zaidi.

Basi nilimwambia tu jamaa awe responsible alipe faini na pia aoneshe uungwana, ampe traffic hata Tsh 100,000 kama asante ikiwa hana 200,000.

Tujifunze ku appreciate wanapofanya vizuri. Upo vibaya sana mwachie hata 100,000. Naye aone unamjali na kutambua uwepo wake. Ma ukiwa na kosa lipa tu ndugu yangu ukiweza hata unalipa in advance. Nilijikuta tu natokwa na machozi.
Du, mkuu kweli una vijisenti!
 
Hivi kiduku lilo unajua kua 200,000 ni mshahara wa mtu?
 
Nimefurahi sana kuusoma uzi wako. Nilikuwa naumia moyo sana kwa kuenguliwa kwenye uchaguzi lakini sasa umenifungua macho kuwa; Hata nikikosa kabisa kifuta machozi, waweza nikumbuka mheshimiwa Kidukulilo. Isije kuwa na weye ni cdm umekatwa
 
Askari wetu wanafanya kazi katika mazingira magumu. Hawa traffic. Jua yeye, mvua yeye. Hivi watanzania kwa nini hatuna huruma?

Nimekuta jamaa mmoja amekamatwa na traffic sababu tairi zake zimechakaa. Kiukweli huyu jamaa alipaswa ampe traffic hata 200,000 ya asante kwa kugundua hilo tatizo la kuhatarisha maisha yake dereva.

Kilichoniliza ni kuona jamaa anabembeleza asamehewe? My gosh, hii imenishtua sana. Yaani traffic kakukamata unahatarisha maisha yako na ya wengine, badala umshukuru unataka hata ya fine kumnyima? Tuwe na ubinadamu.

Traffic wa namna hii unapaswa kwanza ulipe faini kama ilivyo halafu na yeye unampa angalau 200,000. Kama asante kwa kuokoa maisha yako.

Huyo jamaa ilibidi niangalie nyuma kama anatumia gari au usafiri. Nikaona hicho chombo kimeandikwa Rav 4. Nilimuonea huruma sababu tairi zake ni kipara. Akasema tairi za gari zangu haziwezi funga mwenye huo usafiri wake. Niliumia sana.

Nikamuuliza kama tairi za Ford Ranger zinaweza fungwa pale au Range Rover ili niende naye home nikampe. Mimi tairi zangu huwa kila miezi 8 nabadilisha.

Jamaa zangu wengi wakija wanazichukua wanadai ni mpya kabisa. Wao wanaenda tumia miaka 2 zaidi.

Basi nilimwambia tu jamaa awe responsible alipe faini na pia aoneshe uungwana, ampe traffic hata Tsh 100,000 kama asante ikiwa hana 200,000.

Tujifunze ku appreciate wanapofanya vizuri. Upo vibaya sana mwachie hata 100,000. Naye aone unamjali na kutambua uwepo wake. Ma ukiwa na kosa lipa tu ndugu yangu ukiweza hata unalipa in advance. Nilijikuta tu natokwa na machozi.
Huyu mtu ni mgonjwa wa akiri.
 
Tairi zake zimeisha, hiyo pesa ya faini na laki2 ya kuchezea ataitoa wapi...

Usikute hata mafuta anagongea kwenye kidumu...

Angemkagua vizuri, angemkuta na makosa kibao, kupelekea kungolewa plate number kabisa...

Cc: mahondaw
 
Kuna siku KIDUKU LILO alitukuta pale fidelity park Masaki, mimi, waziri wa maliasili kipindi kile na Dialo tunakunywa. Akamwambia mwenye bar hawa waheshimiwa wanywe kwenye hii pub miaka mitatu kuanzia leo. Ikapigwa hesabu kila mtu anakunywa sh ngapi pamoja na nyama na mchepuko wake. Tukakutwa sote kwa pamoja na mipango yetu ya kando kwa siku tunatumia Tsh 1,655,000
Basi ikapigwa hesabu
1,655,000 x 365 x 3.
Akaandika cheque akampa mwenye bar.
Nilipozinduka nikajikuta mwendokasi ushafika Kimara. Nikateremka na kupanda la Matosa
 
14100256_1829190217367202_2229032021751147702_n.jpg
 
Another guy who graduated from Facebook to join jamii forums
 
Huyu mtu ana kipaji angeliweza kutumia kuandika kitabu/vitabu, vingeweza pia kutengenezewa filamu nzuri sana. Thanks Lilo.
 
Tairi zake zimeisha, hiyo pesa ya faini na laki2 ya kuchezea ataitoa wapi...
Daah.. umenifumbua macho.jamaa nlimpa biznez card yangu nadhani akinitafuta leo ntaangalia namna ya kumsaidia hivi hiyo Rav 4 inajaa lita ngapi petrol? Matairi ntaangalia kama yale nliyo nayo hayamfahai angalau basi nijue ntamsaidiaje maana alikuwa anasema anaenda kumchukua mgonjwa hosp hivyo hana pesa.nami sikuwa nmetembea na pesa nyingi.nlimpa tu 150,000 akamnunulie mgonjwa matunda.

Usikute hata mafuta anagongea kwenye kidumu...

Angemkagua vizuri, angemkuta na makosa kibao, kuplekea kungolewa plate number kabisa...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom