PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,328
Labda ulikumbuka misiba ya wazee wako zamani mkuu ila ilo so jambo la kumtoa mtu mzima machozi. Hao nawajua vzr ukimkuta mnyonge mnyooshe tuu, maana siku ukikutana na mwenye nguo kama izo af chuma utakuja apa kuandika uzi wa uonevu