Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.
Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.
MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.
Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.
Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.
Mbio za mlaghai huishia ukingoni.
Una matatizo ya uelewa.
Dollar zinakuhusu nini wewe?
hako ka jamaa ni ka YERICKO nyerere ( la kujitungia) kapiga dili ka dr slaa na mbowe ambako hata uchaguzi wa kata kameshindwa huko kigamboni
Elimu ya msingi imefanya nini?
Pata darsa kidogo;
Nyerere 1984:
[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils[/TD]
[TD] 3.49 million[/TD]
[TD]1984[/TD]
[TD] 30th out of 161[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kikwete 2012:
[TABLE="class: table table-active table-main table-paginated table-sortable resptable tablesorter tablesorter-default"]
[TR]
[TD]Primary education, pupils[/TD]
[TD] 8.25 million[/TD]
[TD]2012[/TD]
[TD] 4th out of 88[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source:
Tanzania Education Stats: NationMaster.com

Nani zaidi?
Hueleweki, rekebisha, usione haya. Najuwa kuwa Kiswahili si lugha yako ya kwanza.
Bibie FaizaFoxy kabla haujakimbilia takwimu unatakiwa kwanza ujiulize mambo muhimu yafuatayo.
1. Kipindi Mwl Nyerere analiongoza taifa letu alirithi waalimu wangapi toka kwa mkoloni mwingereza,kulikuwa na vyuo vingapi vya ualimu kuanzia ngazi ya cheti, shahada na stashahada.
2. Idadi ya shule za msingi na sekondari wakati wake zilikuwa ngapi na zilikuwa zikimilikiwa na nani (serekali ngapi na taasisi za dini ngapi)
3. Ubora wa elimu wakati wa Mwl Nyerere ukilinganisha na ubora wa elimu kipindi cha Kikwete ukoje ?.Je mwanafunzi aliyehitimu darasa la saba wakati wa Mwl Nyerere na kipindi cha Kikwete unaweza kuwalinganisha ?.
4. Idadi ya waTanzania wakati wa Mwl Nyerere na idadi ya watu kipindi cha Kikwete ilikuwa sawa.
5. Wakati wa Mwl Nyerere elimu ilitolewa bure hapakuwa na mchango,mikopo.......watoto wa masikini walisomeshwa bure hadi ngazi ya chuo kikuu kwa fedha za kahawa,pamba,tumbaku na korosho leo Tanzania inauza Dhahabu,Tanzanite na gasi watoto wa masikini hawana uhakika wa kupata elimu bora,hawana uhakika wa mikopo,hawana uhakika wa ajira......
6. Mwl alijenga viwanda vilivyo toa uhakika wa ajira kwa wasomi wetu leo wasomi wanamaliza hawana uhakika wa ajira,hawajui ujuzi waliochota vyuo vikuu wataupeleka wapi mambo kipindi cha Kikwete ni shabalabagala.Hakuna mipango kwaajili ya waTanzania bali ipo mipango ya IMF na World Bank ambayo si rafiki kwa waTanzania masikini.

Na Kikwete anarudi Washington DC Septemba 18 kuwaambia mabwana zake kuwa ameshatimiza maagizo waliyompa.
jasonbourne naona kakimbia njooo hujibu huku,kwanza jana ulidanganya tena kuwa NEC wamekubali hoja za ukawa na kusitisha bunge la katiba
poor you