Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,012
- 1,647
Porojo, ufisadi ulianzia kwa Nyerere, umesahau BOT ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Umesahau wizara ya mambo ya ndani ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Umesahau nchi ilikuwa masikini wa mwisho duniani? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Eti "Washington walimweka kitako juzi".
Huo ni uongo usio na mfano.
Punguani wahed.
cc Yericko Nyerere
haka kajamaa kaongo sana kalikuwa kanahesabu safari za raisi kikwete na aliandika makala ya uchochezi kuwa ridhiwani alikamatwa na madawa ya kulevya china
mimi huwa na mpuuza tu
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.
Maelezo yako ya
kujiosha hayawezi yakasimama kwenye hoja ambayo wewe ndiyo mshitakiwa.
Uongozi wa Jamiiforums ulikuomba ulete ushahidi unaokutenga na Id ya
Janson Bourne na ukasema kama utatoa ushahidi kuwa wewe siyo Janson
Bourne basi ungekuomba msamaha kwenye jukwaa hili la siasa.
Hukuweza kutoa ushahidi wowote na kilichofanyika ni uongozi wa Jf
kuiondoa thread ya malalamiko yako.
Jamiiforums ni hansard na kila kinachoandikwa na kuwekwa kwenye jukwaa
ni kumbukumbu isiyofutika na kwa maana hiyo, Kumbukumbu tunazo.
Tunafuatilia sana kinachoendelea hapa jukwaani lakini vile vile
washukuru Mod's kwa kukuhifadhi kwa muda mrefu mpaka ukavuka mipaka na
wakaamua kuziunganisha Id zako.
Nani kakudanganya mimi ni Katibu Mwenezi! Mimi ni MwanaDiwani.
Ni bora ukae kimya!
Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.
Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.
MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.
Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.
Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.
Mbio za mlaghai huishia ukingoni.
Kwa taarifa yako ww ndo mjinga na si mtoa hoja. Watafute wajinga wenzako wawe upande wako lkn mm niko upande wa mtoa hoja. Napita tu.Kuna angalizo linalosema, mtu mwenye akili, akijua kuwa na wewe una akili akakueleza jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau sana.
Ninaamini huwa unawadharau sana wale ambao huwa wanakubaliana na hoja zako za kutunga huku ukitumia JF Id nyingine.
MOD's walitusaidia sana kwa kutufunulia aliyeko nyuma ya Id hii ya Janson Bourne baada ya kuunganisha JF Id zako.
Tumelitunza andiko la moderator kama record pamoja na kuifuta thread na comment na hatutasita kukukumbusha na kuwaeleza wanajf pale tunapoona unaendelea kuleta habari za kutunga kama hii habari.
Ni vizuri tu ukatumia Id yako inayofahamika pamoja na kupata misukosuko kutoka kwa Andrew Nyerere baada ya kujinasibisha kama na wewe ni mmoja wa watoto wa Mwl. Nyerere.
Mbio za mlaghai huishia ukingoni.
Porojo, ufisadi ulianzia kwa Nyerere, umesahau BOT ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Umesahau wizara ya mambo ya ndani ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Umesahau nchi ilikuwa masikini wa mwisho duniani? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Eti "Washington walimweka kitako juzi".
Huo ni uongo usio na mfano.
cc Yericko Nyerere
Kufuatia hali ya ufisadi nchini kushamiri tangu enzi za serikali ya BWM na serika ya JK kuingizwa madarakani kwa nguvu ya ufisadi kitendo kinachoifanya serikali ya jk kutoonyesha uwajibikaji wowote juu ya ufisadi nchini,
Washington na Ulaya walimuweka kitako jk majuzi baada tu ya kufika USA, Wakuu wa kanda ya Afrika wa USA na Ulaya walionyesha kukerwa na hali ya mambo nchi Tz huku kukiwa hakuna juhudi zozote za kupambana na ufisa,
Mabadiliko yaliyofanywa pccb na dpp ni pressure ya Ulaya na US kwa JK kuhusu vita ya ufisadi
USA ilikuwa ikitambua kuwa felishi ameonekana akilinda ufisadi tangu epa kaondolewa
Sahivi Hossea atakuwa amefurahi, maana wabaya wake ndani ya DPP na PCCB wote wametolewa
Kwa taarifa yako ww ndo mjinga na si mtoa hoja. Watafute wajinga wenzako wawe upande wako lkn mm niko upande wa mtoa hoja. Napita tu.
Washington(Washington DC)...one of the hub of masterminds in ill motive towards financial and economical crises around the world.....
Eti "Washington walimweka kitako juzi".
....
....
Hapa chini ni sehemu ya maelezo ya kingereza juu ya namna Benki ya Dunia(WB) na IMF zinavyofanya kazi...!
Ninatarajia wachumi wa Jukwaa hili watafafanulie kama kweli WB na IMF wapokweli kuboresha maisha ya wananchi wa ulimwengu wa Tatu kwa mikopo yao hiyo. Vilevile kama sasa Taifa linatakiwa kuanza kukopa kutoka kwenye Benk ya maendeleo ya Brics ( BRICS Development Bank.) na tuachane na mikopo ya WB na IMF.
Karibuni
...................................
................................................................
This process was described most famously by former insider and self-described economic hitman John Perkins, who wrote his Confessions of an Economic Hitman to shed light on the means by which the seemingly benevolent IMF/World Bank system is used to oppress and plunder the very populations it is designed to enrich.
According to Perkins:So how does the system work? We economic hitmen have many vehicles to make this happen, but perhaps the most common one is that we will identify a countryusually a developing countrythat has resources our corporations covet, like oil, and then we arrange a huge loan to that country from the World Bank or one of its sister organizations.
Now most everybody in our country believes that loan is going to help poor people. It isnt. Most of the money never goes to the country. In fact it goes to our own corporations. It goes to the Bechtels and the Halliburtons and the ones we all hear about, usually led by engineering firms, but a lot of other companies are brought in and they make fortunes off building the infrastructure projects in that country. Power plants, industrial parks, ports, those types of things. Things that dont benefit the poor people at all; theyre not connected to the electrical grid, they dont get the jobs in the industrial parks because theyre not educated enough. But they as a class are left holding a huge debt. The country goes deep into debt in order to make this happen, and a few of its wealthy people get very rich in the process. They own the big industries that do benefit from the ports and the highways and the industrial parks and the electricity.
The country is left holding this huge debt that it cant possibly repay, so at some point we economic hitmen go back in and we say, You know, you cant pay your debts. You owe us a pound of flesh, you owe us a big favor. So sell your oil real cheap to our oil companies, or vote with us on the next critical United Nations vote, or send troops in support of our to some place in the world like Iraq. And so we use this whole process as, first of all, a means for getting their money (money we loan them) to enrich our own corporations, and then to use the debt to enslave them.
..............................
........................................
What The World Bank Actually Does | Global Research
Naendelea kuvuta elmu mpaka sasa Yericko Nyerere anaongoza kwa points nyingi sana dhidi ya MwanaDiwani na bibie wa mitaa ya Tandamti FaizaFoxy wameachwa mbali sana hawajui wanakokwenda wala walipotoka.
Hoja za kutunga hazijibiwi namna hii....bali ujibiwa kwa kuonyesha ushahidi wa kutungwa kwa hoja hizo. Mfano...ungesema/andika kuwa hili limetungwa...na kudhibitisha kuwa hili limetungwa...ukweli ni huu na ule...! Vinginevyo utazidi kuimarisha imani ya kuwa mleta uzi anasema ukweli.
Huwezi kusema mleta Mada anasema uongo bila kusema ukweli ni hupi. Jaribu kujibu hoja.
Hujambo binti kipenzi cha waarabu?Porojo, ufisadi ulianzia kwa Nyerere, umesahau BOT ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Umesahau wizara ya mambo ya ndani ilichomwa moto? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Umesahau nchi ilikuwa masikini wa mwisho duniani? au ulikuwa hujazaliwa bado.
Eti "Washington walimweka kitako juzi".
Huo ni uongo usio na mfano.
Punguani wahed.
cc Yericko Nyerere